Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,498
- 113,602
Wanabodi,
Naomba nianze na facts:
1. Japo Tanzania, tangu tupate uhuru, tuna miradi mingi mikubwa ya uwezekazi iliyoanzishwa, na kuna makampuni mengi yamewekeza Tanzania, hakuna uwekezaji wowote mkubwa, zaidi ya uwekezaji wa kampuni ya mafuta ya TotalEnergies, kupitia mradi wake wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani, Tanga nchini Tanzania, huu ndio mradi wenye thamani kubwa kuliko mradi mwingine wowote nchini Tanzania kwa sasa.
2. Japo kuna makampuni mengi yanayotoa huduma za mafuta, na vituo vingi vya mafuta, kampuni ya mafuta ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, ndio kampuni inayoongoza kwa kuwa na vituo vingi vya mafuta, ambapo mpaka sasa, ina vituo zaidi ya 100 vilivyotapakaa nchi nzima, tena vituo vya TotalEnergies, sio viko maeneo ya mijini tuu, viko hadi vijijini, siku moja nilikuwa maeneo ya vijijini huko Marangu, Moshi, nikashangaa kukutana na kituo cha kisasa cha TotalEnergies, pale kijijini Somanga!
3. Japo kuna aina mbalimbambali za mafuta ya petroli na dizeli, kuna Super, Regular, Unleaded, etc, mafuta yanayouzwa kwenye vituo vya TotalEnergies, ndio mafuta yanayoongoza kwa ubora, kutokana ma mafuta ya Total, kuongezwa kiambata cha TotalEnergies Excellium ambacho kinafanya mambo makubwa kwenye gari yako!
Hivyo, licha ya hii kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, kufanya makubwa haya, sasa imeahidi kufanya makubwa zaidi Tanzania.
Karibu unisome hapa
Paskali.