Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kutoka China kwa njia ya meli kupitia silence ocean au kampuni yoyote

kibuzi

Member
Aug 22, 2021
21
18
Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye fahamu asanteni
 
Usafirishaji wa meli hawalipishi kwa kutumia kilo- wanatumia CBM ( ukubwa wa mzigo) na kila bidhaa Ina gharama zake kwa CBM- kwa undani zaidi fika ofisini kwao.
 
Usafirishaji wa meli hawalipishi kwa kutumia kilo- wanatumia CBM ( ukubwa wa mzigo) na kila bidhaa Ina gharama zake kwa CBM- kwa undani zaidi fika ofisini kwao.
Niko dodoma ndani ndani nimewajaribu kuwauliza kwenye no zao wanapiga danadana tu
 
Back
Top Bottom