kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kampuni au ofisi inayofanya Marketing na Promotion

    Wana JF naomba kuulizia ni kampuni au ofisi ipi yenye uwezo wa kufanya Marketing na promotion ya bidhaa kama ya mafuta ya kula wawe wamesajiliwa na wana uwezo wa kutoa document za risiti, proforma invoice na delvery note. Promotion inatakiwa ifanyike Arusha, Dar, Kilimanjaro na Manyara kama...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo bila kuchelewa?

    Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Umbro imedhamini Ndondo Cup 2021

    Kampuni ya vifaa vya michezo ya Umbro Afrika Kusini imeingia ushirikiano na Clouds Media Group na Shadaka Sports Management wa kuidhamini michuano ya Ndondo Cup 2021 kwa kutoa jezi kwa timu zote shiriki 32, mipira ya mashindano na vifaa vya waamuzi. Umbro ni kampuni ya vifaa vya michezo yenye...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia...
  5. fokofu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Kampuni ya Aramex

    Habari zenu wakuu, samahani nilikuwa naomba kufahamu kwa yeyote mwenye uzoefu na kuagiza mizigo kupitia kampuni ya Aramex, nahitaji kujua gharama zao mzigo unapotua Dar es Salaam au na wao wanakodi kubwa kama DHL?
  6. I

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kusajili jina la biashara au kampuni?

    Habari wadau, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeshaandaa mpango wa kuanzisha biashara yangu binafsi. Biashara yangu itakua inategemea na mzunguko wa hela kutoka kwa watu ambao wataamua kuungana nami. Je, natakiwa nisajili jina la biashara au kampuni ili niweze kuanzisha biashara yangu bila kupata...
  7. n00b

    JamiiForums Tanzania LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
  8. K

    JamiiForums Tanzania MaxMalipo, kampuni iliyoshindwa kuinovate.

    MaxMalipo ilikuwa moja ya kampuni zinazofanya vizuri kwenye tech space in Tanzania. Ila kwa sasa ni kama inaelekea kufa hivi. The payment industry ni moja ya industry inayokua kwa kasi, hasa hasa ikichangiwa na ukuwaji wa internet, more specifically ecommerce. Hii ni kampuni ambayo ilikuwa na...
  9. Yusuph Lucas

    JamiiForums Tanzania Unaifahamu kampuni yoyote inayofanya door to door marketing?

    Habari za majukumu? Naomba mtu yeyote anisaidie details za kampuni zinazofanya door to door marketing. (Maarufu kama watu wa promotion, na wanauza bidhaa mchanganyiko kama vile vipodozi, sabuni, vyombo n.k kwa kuvitembeza mtaani) Nahitaji kupata details zifuatazo 1. Jina la kampuni 2. Mahali...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bei za umeme zasababisha kampuni kuhamia Ethiopia

    Kampuni mbalimbali nchini Kenya zinaweza kuhamia Ethiopia kutokana na gharama kubwa za umeme zilizopo Kwa ufanano ni kuwa bei za umeme za Ethiopia zipo chini kwa zaidi ya 80% ukilinganisha na Kenya Kampuni kadhaa zimeshahama huku nyingine zikiwa zimefunga shughuli zake kutokana na bei za umeme...
  11. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

    Kampuni ya China inayotengeneza vifaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania. Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam. Hi ni kwamujibu wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Pfizer yasema inatarajia mapato ya dola bilioni 26 mwaka huu kutokana na mauzo ya Chanjo ya Corona

    Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake. ======= Pfizer coronavirus vaccine revenue is projected to hit $26 billion in 2021 with production surge By Christopher Rowland May 4, 2021...
  13. kaburu mdogo

    JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata hii Radio ya hii kampuni?

    Nilinunua radio ( home cinema) zamani kidogo kwenye mwaka 2007/9 kupitia ndugu yangu aliyekuwepo Africa ya kusini na kuileta hapa nyumbani. Bahati mbaya vibaka walivunja na kuiba hiyo radio na kuniachia subwoofer yenye namba za udahili subwoofer model micro 1500dssw. Nilikuwa nahitaji radio...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas wakutana na Balozi wa Marekani

    Leo ubalozi wa Marekani umetoa taarifa kua viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa gesi ya Songas imekutana na Balozi wa Marekani na kufanya mazungumzo kuhusu nishati ya Tanzania. Historia ya Songas Tanzania inajulikana ilivyojawa na utata na nakumbuka mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Kilagi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni zanazonunua mahindi Tanzania

    Naomba kufahamu kampuni ambayo inajihusisha na ununuzi wa mahindi hapa Tanzania ... kwa mtu yeyote anaefahamu naomba msaada please.
  16. Sharose Enterprise

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

    Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako. Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake. 1. TIN ya biashara 2...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makampuni 49 ya Tanzania yaruhusiwa kuuza maharage soya China

    Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China. Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la kampuni ya kuweka rangi kwenye mafuta: Mikataba ulikuwa umebakiza muda gani kuisha na hawawezi kutupeleka mahakamani kwa kuuvunja mkataba?

    Japo inadaiwa kuwa kampuni husika imetupiga hela nyingi (bilion 5 mpaka 7 kwa mwezi) lakini ukweli ni kuwa walikuwa wanatupiga kupitia mikataba tuliyoingia nayo wenyewe huku tukiwa na akili zetu timamu (hizo hela hawajatupora kwa mtupu wa bunduki) Kwahiyo, kama tumevunja mkataba kinyume na...
  19. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania "Wazo zuri, ila kampuni haina budget"

    Habari wakuu? Ninapopeleka proposal kwenye makampuni mbalimbali nimekua nikipata mrejesho wa namna hii mara nyingi kuwa, "Wazo ni zuri, lakini hatuna bajeti" Kwa upande mmoja naamini kweli huenda hakuna bajeti, lakini kwa upande mwingine naona kama vile ni namna waliyoamua kutumia watu wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Amani iwe kwenu! Kwa wale ndugu zangu mliosoma biashara kuna somo linaitwa Strategic Management, kwa kifupi somo hili linaangazia zaidi juu ya kuanzisha, kutekeleza na kupitia au kurejea mikakati yaani kwa kimombo wanasema stategic managment is about formulation, implementation and Review /...
Back
Top Bottom