kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    Kama ni ndiyo basi DAY DREAMER TZ CONSULTANCY ni mkombozii Kwako. Sisi ni wazoefu wa masuala yote yakusajili biashara(kampuni au jina la biashara? kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo 1. Kusajili kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and...
  2. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Pale katika kampuni unayotumikia unapokuta wamzifungia site za Movie ufanyeje?

    Nimejikuta siwezi kudownload movie kama nilivyozoea baada ya kufungia zile site za kudownload movie hata vpn niliyokuwa nikitumia wameipiga kitofa je wajuzi hapa tufanyeje kuruka kiunzi hiki ili maisha yaendelee??
  3. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kampuni za Mfukoni-Briefcase Corporations

    Habari za wakati huu; Je unajua kuwa biashara zote kubwa zilianza kama wazo? Je, unajua kwama biashara nyingi kubwa zilianza kama briefcase companies? Je, unajua kuwa biashara nyingi kubwa zilianza chini?Leo nataka nizungumze kuhusu Briefcase Companies na umuhimu wa kuwa na Kabiashara kako ka...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Kenya yafungua jengo lililojengwa na kampuni ya China

    Benki kuu ya Kenya CBK imefungua jengo lililojengwa na kampuni ya China (CBK Pension Towers), ambalo liko katika kitovu cha Nairobi, nchini Kenya. Kampuni ya ujenzi ya Wu Yi ya China imejenga jengo hilo la kisasa ambalo lina majengo marefu pacha yenye urefu wa mita 110. Jengo hilo lina sehemu...
  5. Championship

    JamiiForums Tanzania Afanya kazi miaka 84 (tangu 1938) katika kampuni moja

    Kutana na Walter mpaka Guinness world record wamemtambua.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa Ethiopia apongeza kampuni za China kwa kutekeleza majukumu ya kijamii

    Serikali ya Ethiopia imepongeza kampuni za China kwa juhudi zao za kutekeleza majukumu ya kijamii nchini humo. Taarifa hiyo imetolewa na naibu meya wa Addis Ababa Bw. Yasmin Wohabrebbi kwenye hafla ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Mekanisa Abo. Mradi huu umefadhiliwa na kujengwa na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yazindua mfuko wa maendeleo kusaidia jamii nchini Sierra Leone

    Kampuni moja ya uchimbaji madini ya China jana ilitangaza kuzindua mfuko wa maendeleo ya kijamii ili kusaidia kuhimiza maendeleo ya jamii nchini Sierra Leone. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na kampuni ya Leone Rock Metal, kampuni hiyo itachukua asilimia 1 ya mapato yake ya kila mwaka kwenye...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe amkosoa Mpina, amtaka alete kampuni inayouza mbolea kwa bei rahisi

    Dodoma. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemcharukia Waziri wa zamani wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ambapo amesema ni hatari kwa mbunge wa muda mrefu kuupotosha umma. Mpina wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023 bungeni leo...
  9. ward41

    JamiiForums Tanzania Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

    Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA. Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA...
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni hii itaajiri Wakenya 4,000 pindi tu ujenzi wa ofisi yake utakapokamilika

    Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city. Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO. Biashara hii ya BPO India na Phillipines ndio zimedominate. ========= CCI Global, the largest international...
  11. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapenda Namba lakini hamjui Hesabu

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hizi namba zipo kamili kama hesabu za hela? CHADEMA mnapenda namba lakini hamjui hesabu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Silverlands Tanzania miongoni mwa kampuni zinazokuwa kwa kasi Afrika

    London, 3 Mei 2022 Ripoti ya utafiti ya ‘Financial Times’ imeitaja Kampuni ya Silverlands Tanzania kuwa ni miongoni mwa kampuni zinazokuwa kwa kasi barani Afrika. Ripoti hiyo imezitaja jumla ya kampuni bora 75 barani Afrika kwa kuzingatia vigezo vya ukuaji mkubwa wa mapato kati ya mwaka 2017...
  13. Bowie

    JamiiForums Tanzania Kampuni Shell yatangaza faida ya Dola Bilioni 9 kwa miezi 3 Iliyopita

    Ni wazi kabisa kupanda kwa bei ya mafuta ni makampuni yanayoagiza mafuta yameamua kupandisha bei wala suala hili halihusiani na vita vya Ukraine ni muhimu kwa serikali kuangalia huu mfumo wa uagizaji kwa Bulk. Ikumbukwe wakati wa serikali ya awamu ya 3 mfumo huu wa kuagiza mafuta kwa (Bulk)...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuanzishwa kwa kampuni binafsi ya CCTV Surveillance kwa jiji la Dar es salaam

    Kampuni hii itaomba vibali vyote kutoka mamlaka husika kwa ajili kufunga Camera katika sehemu zote za makutano ya barabara (Junctions), mitaa mikubwa ya wilaya zote 5 hasa hasa katikati mwa mji, Sinza, Kinondoni, Masaki Nk. Linapotokea tukio lolote, mfano wizi wa vifaa vya gari, wizi wa gari...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tanesco na tenda kwa kampuni binafsi; TTCL na kampuni binafsi za simu kuanzishwa TCRA

    TANESCO NA TENDA KWA KAMPUNI BINAFSI;TTCL NA KAMPUNI BINAFSI ZA SIMU KUANZISHWA TCRA. Leo 12:15pm 03/05/2022 Tanesco wameazimia kuongeza ufanisi na kasi katika kuunganisha umeme kwa wateja,Tanesco itaanza kutoa tenda kwa kampuni binafsi kufanya kazi hiyo huku wao wakijikita kwenye uzalishaji...
  16. Tunkamanin

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: kampuni ya umeme mbadala zola ichunguzwe

    Kampuni hii ilijijengea jina na heshima kubwa sana kwa watanzania hususan vijijini kwa kusaidia kutoa suluhisho LA umeme mbadala. Kwa sasa hawa jamaa wanatumia jina lao kulaghai watu. Ni warongo sana watu hawa kwa wateja wao. Ukiwalipa pesa ili wakufungie mtambo, pasa wanakula na mtambo hipati...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya BM coach sasa mnaharibu, kulikoni?

    Hii kampuni ilianza vizuri hasa safari za Dom-Dar-Dom....wakawa na huduma nzuri sana....wakapata wateja wengi ambao walihama kutoka makampuni mengine makongwe kama Shabiby, ABC etc..kila kitu kilikuwa on time...Sasa wamevimba kichwa ...Yaani hawana ratiba inayoeleweka kabisa.. Yaani siku...
  18. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za makampuni makubwa ya kiteknolojia duniani yameichagua Kenya

    Ananias Edgar ambaye ni Mtanzania ambaye huwa namkubali kwa video zake nzuri anaeleza kwamba makampuni kubwa za kiteknolojia duniani kama Google, Visa na Microsoft zinakuja Kenya kwa sababu Kenya hakuna kukatika katika kwa umeme. Miundo mbinu ya umeme ni dhabiti.
  19. Stroke

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Tanzania ni Mbia wa Kampuni ya Taifa Group?

    Siku ya tarehe 23 Aprili, 2022 Rais Samia alishiriki utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara baina ya kampuni ya Taifa Group na kampuni ya Northern feed co. Mkataba huo wenye thamani ya Dola milioni 500 sawa na trilioni moja za kitanzania utakua katika uzalishaji wa soya, ngano , sukari etc...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

    Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli. Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
Back
Top Bottom