Je, nini mtazamo wako juu ya wahitimu wengi wa vyuo kupenda kuajiriwa serikalini ilhali kampuni binafsi ndio zinazoongoza kwa kulipa mishahara minono?
Mtu yuko radhi kuacha kazi kwenye kampuni binafsi yenye mshahara wa 1.5M na kwenda kupoke basic salary ya 900k serikalini
Je ni job security au...
Habari za leo,Kuna kampuni tajwa hapo yenye makao makuu morogoro inajishughulisha na kulima, yaani unatoa hela ya mtaji Kisha baada ya miezi kadhaa kulingana na zao unapewa hela(mtaji na faida) , naomba anaifaham anisaidie ufafanuzi mi nipo mkoa mwingine ili Kama inafaa niwekeze
Nashukuru
Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara ina teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL))
Our gas-to-liquids technology turns natural gas into high-quality liquid fuels, base oils for lubricants, and other liquid products usually made from oil. It is founded...
Imebainika kuwa kampuni mbili zilizopigwa marufuku kufanya kazi Nchini Kenya ni miongoni mwa kampuni nne zilizoomba zabuni ya kukagua magari katika bandari ya Dar es Salaam.
Tangazo la zabuni lililopo kwenye tovuti ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linaonyesha kuwa hadi kufikia Aprili 4...
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.
Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua hisa 25% kwa bilioni 480, halafu Hisa zenyewe haziuziki...
Underwriting firm Resolution Insurance has been placed under statutory management owing to operational and financial difficulties.
The Policyholders Compensation Fund (PCF) has been appointed Resolution’s statutory manager for a period of 12 months effective Tuesday.
According to the...
ExxonMobil kampuni ya kuzalisha oil and gas imesema leo kwamba faida yao ya robo mwaka itaongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 2 kutoka na kupanda kwa bei za oil and gas.
ExxonMobil ni kampuni ya Marekani na ya pili kwa ukubwa duniani. Inatazamia kupata faida ya jumla ya dola bilioni 11 kwa...
imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu
maana...
Wanabodi,
Japo Tanzania tunaagiza mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, kwa uagizaji wa pamoja, yaani Bulky Procurement, lakini ubora wa mafuta hayo haufanani, mafuta ya TotalEnergies ndio mafuta bora zaidi, kutokana na kuongezwa kiambata kiitwacho excellium, kinachoyafanya mafuta yao...
Siku chache baada ya kusambaa kwa taarifa juu ya uwepo wa unyanyasaji wa wafanyakazi katika Kampuni ya SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), hatimaye Serikali imetoa tamko juu ya kinachoendelea kiwandani hapo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira & Wenye Ulemavu) ametoa tamkoa...
Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la kurahisisha usafirishaji wa Saruji kwa kutumia bandari ya Mtwara.
Makubaliano hayo Yanawezesha kampuni ya...
Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana...
Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone.
Pengine mtu anaweza kujiuliza kwanini kiwango hiki ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya watu waliopo...
Mimi sijawahi kubet, sasa juzi nikaona nijaribu. Nikawapa Yanga ushindi, Man City na timu za ligi mbalimbali duniani. Nikaweka sh 2000 ndiyo wakazidisha sijui Mara 50 odds. Utaniutani nikapata meseji nimeshinda elfu 90 wasafibet. Wenyewe sasa wanapataje faida kama.siyo hasara. Yaani elfu 2 hadi...
URUSI: Kampuni ya kutengeneza Ndege ya Marekani ya Boeing (BA.N) imesema inasitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa kutokana na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine.
Marekani imesema itafuata Uamuzi wa...
Kampuni ya Apple imesitisha kuuza simu za iPhone na bidhaa zake nyingine nchini Urusi na kujiunga na Kampuni nyingine mbalimbali ambazo zimetangaza kujiondoa Urusi baada ya kuivamia kijeshi Ukraine.
Wafanyabiashara wengine wakubwa wa teknolojia kama Google na Twitter pia wamepunguza biashara...
Wadau, salaam Kuna Mawakala wa kutangaza (promotion) bia za kampuni za bia nchini kama Tanzania Breweries Ltd na Serengeti Breweries.
Yaani iko hivi, hawa Mawakala wao kazi yao ni kutafuta wasichana warembo na kwenda nao kwenye baa kubwa ambapo huwapa bia ili wazitembeze kwa wateja wa baa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.