juma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mnikulu ni cheo gani na anashughulika na nini Ikulu?

    Poleni na majukumu ya kutwa mzima. Nilikuwa naomba maana ya mnikulu mkuu na huyo mnikulu pale Magogoni ana kazi gani?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

    The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi ateuliwa kuwa kocha mpya wa muda wa Yanga

    Hii ni baada ya benchi lote la ufundi kutimuliwa. Ikumbukwe kwamba Mwambusi aliondoka kwenye benchi la ufundi la Yanga kwa sababu zilizotajwa kuwa za kiafya, lakini sasa amerejeshwa kama kocha wa muda.
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Siku gani katika juma watu huamini ni siku yenye mikosi au nuksi?

    Hapo vipi! Nimeshakutana na watu wenye kuamini baadhi ya siku kwenye juma zina mikosi, hivyo hufunga hata kazi zao. Je, hizi siku zipo na je kuna ukweli?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Karibu Juma Nkamia Simba upige spana makanjanja,this is too much

    Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa kwingine na linaendeleza libeneke lake kama kawaida,Radio one walipigwa stop kusema na kutangaz a...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kampeni: Napinga Juma Nkamia kuwa Mwenyekiti wa Simba, hana uwezo

    Taarifa inaonyesha kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imepitisha majina mawili ya kuwania Uenyekiti wa Simba , huku wagombea wengine wakienguliwa (sifahamu vigezo vilivyotumika ) , waliopitishwa ni Mangungu na Juma Nkamia , maana yake ni kwamba kati ya wawili hawa mmojawapo atakuwa...
  7. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

    Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua dada yetu anafanyiwa window shopping tu nakuachwa kimasihara ... hatimae limepumzishwa jiwe la magram yakutosha kwenye kidole cha dada yetu , na hii...
  8. Leak

    JamiiForums Tanzania Juma Jux(Jux) ni Msanii bora wa R &B kwa sasa Tanzania ,ni kweli hana mpinzani?

    Wasalaam wana jamvi. Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana. Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi kabisa kumekuwa na ugumu wa wasanii wengi na ni wachache wanaweza kumantain. Lakini ukifatilia trend ya...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Juma lokole ni Nani?

    Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simba mstaafisheni Juma Kaseja

    Itakuwa ni jambo la faraja sana kwake maarifa yake ni muhimu kwa bench la ufundi, Manula ni kipa mzuri hatuhitaji kuendelea kuthibitisha hili lakini anahitaji mwalimu atakae kuwa mfano halisi kwake. Kaseja Juma kwa sasa hiv hachezi mpira kuwavutia watu tena anacheza mpira kuwafundisha watu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Profesa Juma awataka Majaji na Mahakimu kutendea haki Kesi za Uchaguzi ili Mahakama isigeuzwe kichaka cha Wanasiasa

    Akizungumza kwenye kikao cha kutoa elimu ya namna ya kushughulikia kesi za uchaguzi kwa majaji na mahakimu, JM Prof Juma amewataka watendaji hao kutoa haki kwa wakati. Profesa Juma amesema mahakama inapaswa kutoa haki ili isionekane kama tawi linaloweza kutumiwa na Wanasiasa. Semina hiyo...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa CCM umenikosha kwa kumwengua Juma Nkamia wa Jimbo la Chemba, Dodoma

    Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma. Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na kwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama juma moja tu la Tundu Lissu kusimama jukwaani akitafuta wadhamini limewafanya CCM watafutane kwa kurunzi, siku 60 za kampeni itakuwaje?

    Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi! Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye joto la jua! Stigler's, flyover, ndege na SGR zimewekwa kwenye mizani ya uhalisia wa maendeleo ya...
  14. Shark

    JamiiForums Tanzania Yanga yaachana Rasmi na Kelvin Yondan na Juma Abdul

    Klabu ya Soka ya Yanga imeamua kuachana rasmi na Walinzi wao Kelvin Yondan na Juma Abdul Jafary baada ya kushindwa kufikia maafikiano.
  15. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rajab Salim Juma Alqushairiyyu kijana aliyegombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupita CUF Uchaguzi wa marudio 2018 ametia nia tena

    Kijana aliegombea ubunge jimbo la kinondoni kupita CUF uchaguzi wa marudio 2018 ametia nia tena kurejea uchaguzi mkuu 2020 MH RAJAB SALIM JUMA ALQUSHAIRIYYU Kinondoni Nguvu Yetu Jimbo letu CUF Daima Haina Kufeli.
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 16: Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma achukua fomu ya Urais Zanzibar kupitia CCM

    Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar
  17. mike2k

    JamiiForums Tanzania Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga. juma Nature Juma Kassim Kiroboto 'Nature'. Tukumbuke chorus hizi Ugali Sonia Msela Ugali Radhia Sitaki Demu Kisa Demu Hatuna kitu...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania Juma Nature : Club wisk maji na Bia Ukizubaa wanakuchanganyia, ilikuwa Track moja kali sana

    Hapo sasa
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania U Bunge Viti Maalum Wasanii 2020 reende na Juma Lokole

    Katika kuongeza nguvu za awamu ya tano. Viti Maalum Wasanii kwa pamoja wanampitisha Juma Lokole awe mrusha bendera. Maendeleo hayana chama.
  20. AbdurRahman

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

    Habari! Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha. Simu 0654409392
Back
Top Bottom