Influenza JF-Expert Member Jul 1, 2018 1,445 3,378 Jun 22, 2020 #1 Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,641 61,067 Jun 22, 2020 #2 ACT wameprint fomu moja tu ya Mgombea wa Urais Zanzibar
BLUE DOG JF-Expert Member Dec 10, 2016 746 1,218 Jun 22, 2020 #3 Dhuu hao nafikiri wanataka hayo mabag tuu