Wanabodi
Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo.
Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
Juma Lokole "wanawake wanachezea nafasi wanayoipata kwa Diamond..Ingekuwa mimi Ningejijenga Kwanza Mimi na Kusaidia Ndugu zangu" wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei wanawake bali wanajichezea wenyewe...
Wanakimbilia kupata Mimba wakijua ndio Mondi Atawapenda Milele ...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, huyu ndugu alikuwa askari magereza katika gereza la Musoma miaka ya 1980 na aliondoka Musoma mwaka 1983.
Anatafutwa na kijana wake anaitwa Matiku alimzaa na mama mmoja anaitwa Monika mwenyeji wa Musoma Vijijini,alizaliwa miaka ya 1981.Kwa mujibu wa mama...
Miaka 15 iliyopita, Juma Kassim Nature kutoka Temeke alikuwa moja kati ya wasanii watatu wenye majina makubwa zaidi kwenye mkondo mkuu wa Bongo Fleva.
Albam yake ya kwanza, ‘Nini Chanzo’ pamoja na vibwagizo vikali kwenye nyimbo za wasanii wengine wakubwa zilikuwa chanzo.
Nature, ambaye...
Katika mazungumzo ya Kikwete na Mwanahabari maarufu alieleza jinsi alivyopata ushindi mwaka 2005, akaeleza mchango wa wasanii katika siasa za Tanzania.
Anaeleza kwamba kwa kiasi kikubwa alisaidiwa na kundi la Wanaume TMK kuteka hisia za vijana kwa kipindi hicho.
Nililipenda kundi lile...
Profesa Mussa Assad ni mtu sahihi kuwa Rais wa Jamhuri Ya muungano wa Tanzania, kwa weledi aliouonesha ni kweli Tanzania tuna wasomi na watu makini sana na wasiogopa mtu, Kauli ya Baba wa Taifa ya kwamba tunahitaji vijana jeuri basi huyu ni miongoni mwa zao la baba wa taifa.
Ukimtathimini huyu...
Hii ni kauli ya kishujaa iliyotolewa Mkoani Katavi na Mh Juma Homera akijaribu kuhakikisha kila mwenye uwezo wa kupiga kura anashiriki kikamilifu kujitokeza na
kuwachagua viongozi bora.
Kila Mganga ameelekezwa kutumia kila kifaa chake kikamilifu ili kuwaroga wananchi kama njia ya mpya ya...
Msaada Ndgu Nahtaj Kufahamu Udsm Wanatoa Majina Lini Ya Waliochaguliwa Na Second Selection Zmeshatoka Au Bado Za Chuo Kikuu Msaada Jamani Mpaka Xaxa Xjapata Selection Mxaada Kwa Hlo Jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.