Uchaguzi 2020 Rajab Salim Juma Alqushairiyyu kijana aliyegombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupita CUF Uchaguzi wa marudio 2018 ametia nia tena

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG-20200711-WA0133.jpg


Kijana aliegombea ubunge jimbo la kinondoni kupita CUF uchaguzi wa marudio 2018 ametia nia tena kurejea uchaguzi mkuu 2020

MH RAJAB SALIM JUMA ALQUSHAIRIYYU

Kinondoni
Nguvu Yetu
Jimbo letu
CUF Daima Haina Kufeli.
 
CUF ya Lipumba hamtopata hata Mbunge mmoja si bara wala visiwani,mtavuna mlichopanda kwa usaliti wenu.
 
Mwenyekiti anakiuwa chama hivi hivi,
Siasa inahitaji ushawishi unamuweka katibu hana hata ushawishi Zanzibar
AMSHA AMSHA hana kapoa kama msemaji wa yanga
Unamtoa kambaya kurugenzi habari Cuf unamuweka ngurangwa kapoa hana hata amsha amsha,
Chama kimegeuka ni kikundi cha kupiga selfie tu na mademu lakini ushawishi wa kisiasa hakuna,,
Cuf inakwenda kushuka daraja kama Singida united,, na kwa Lipumba huyu chama kitakufa mazima..
 
Back
Top Bottom