Karibu Juma Nkamia Simba upige spana makanjanja,this is too much

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa kwingine na linaendeleza libeneke lake kama kawaida,Radio one walipigwa stop kusema na kutangaz a lolote kuhusu simba.

Kinachoendelea sasa hivi siyo uchochezi ni uhujumu mafanikio ya simba na naona zaidi ya Manara hakuna mwingine anayehangaika na haya makanjanja zaidi ya kipindi fulani magori aligombana na EFM akidhani wao ndiyo wametoa habari ya uongo kwamba wachezaji wa simba hawajalipwa miezi miwili kumbe ilkuwa Ally kamwe ambaye alikuja kuomba radhi, EFM kupitia kwa meneja wao SSebo walikuja juu kwelikweli wakidai brand yao inachafuliwa ila kwenye kipindi chao cha sports HQ uchafuzi wa simba ni lazima kila siku(wahusika ni wawili na wanajijua)siyo wote kuna watu pale kwenye kipindi kile wana weledi kwelikweli ila kuna makanjanja mawili kwa kweli LORD HAVE MERCY.

Shaffih dauda alishawahi kupost matokeo ya mechi hewa kwamba simba kafungw a2-0 na green warriors mechi ya kirafiki,mechi ambayo hata haikuchezwa baadaye utetezi wake anasema aliona kwenye post ya oscar oscar.

Yote haya makanjanja yanaishika sharubu simba kwa sababu uongozi uko too soft..KUNA NJIA MBILI ZA KU DEAL NAO...TANGAZA RASMI KWAMBA HAMSHIRIKIANI NAO MPIGE MARUFUKU KUTANGAZA HABARI ZENU AU MU WA IGNORE HAKUNA KUPOKEA SIMU ZAO WALA SMS WAENDELEE KUTANGAZA CHUKI ZAO.

Embu fikiria leo simba ingekuwa inadaiwa mishahara kama utopolo wanavyodaiwa na kina Tambwe, Zahera, Dante, Yondani....ingekuwaje huko redioni?

KARIBU NKAMIA NAJUA HILO LA MAKANJANJA HALITAKUSHINDA
 
Asee ningekuwa Mimi kiongozi pale,wangejua hawajui.Huwezi kuharibu brand inadhaminiwa kwa billions za pesa kirahisi rahisi.
 
inashangaza kaachiwa manara peke yake kupambana na makanjanja ,yaani kuna saa unasikikza kebehi dhidi ya simba halafu kesho walewale makanjanja wanampigia simu kiongozi na yeye anapokea huku anachekacheka
kwa mfano magori suala la bilion 20 yeye na Mo washafafanua sana lakini makanjanja kila yakilaumu na kuchochea kuni utasikia KWANI ZILE BILIONI 20 ZISHAWEKWA?
sasa majitu ya hivyo unahngaika nini hata kupkea simu zao?
 
Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa kwingine na linaendeleza libeneke lake kama kawaida,Radio one walipigwa stop kusema na kutangaz a lolote kuhusu simba.
Kinachoendelea sasa hivi siyo uchochezi ni uhujumu mafanikio ya simba na naona zaidi ya manara hakuna mwingine anayehangaika na haya makanjanja zaidi ya kipindi fulani magori aligombana na EFM akidhani wao ndiyo wametoa habari ya uongo kwamba wachezaji wa simba hawajalipwa miezi miwili kumbe ilkuwa Ally kamwe ambaye alikuja kuomba radhi, EFM kupitia kwa meneja wao SSebo walikuja juu kwelikweli wakidai brand yao inachafuliwa ila kwenye kipindi chao cha sports HQ uchafuzi wa simba ni lazima kila siku(wahusika ni wawili na wanajijua)siyo wote kuna watu pale kwenye kipindi kile wana weledi kwelikweli ila kuna makanjanja mawili kwa kweli LORD HAVE MERCY
Shaffih dauda alishawahi kupost matokeo ya mechi hewa kwamba simba kafungw a2-0 na green warriors mechi ya kirafiki,mechi ambayo hata haikuchezwa baadaye utetezi wake anasema aliona kwenye post ya oscar oscar
Yote haya makanjanja yanaishika sharubu simba kwa sababu uongozi uko too soft..KUNA NJIA MBILI ZA KU DEAL NAO...TANGAZA RASMI KWAMBA HAMSHIRIKIANI NAO MPIGE MARUFUKU KUTANGAZA HABARI ZENU AU MU WA IGNORE HAKUNA KUPOKEA SIMU ZAO WALA SMS WAENDELEE KUTANGAZA CHUKI ZAO
Embu fikiria leo simba ingekuwa inadaiwa mishahara kama utopolo wanavyodaiwa na kina tambwe,zahera,dante,yondani....ingekuwaje huko redioni?
KARIBU NKAMIA NAJUA HILO LA MAKANJANJA HALITAKUSHINDA
Utelembwe fc aka mik****ya Msimbazi juu
 
Pale ndio Mo alikosea kwani hakupaswakutoa ufafanuzi kwenye redia hasa ambayo watangazaji wake ni wanazi wa yanga .
Alipaswa kutoa ufafanuzi kwa wanachama wake
 
yeye na magori kila siku wanahangaika kujieleza kwa makanjanja bure tu watoe statement kwenye social media au watumie redio zinazojiheshimu
kama juzi kibwana anauliza hizo bilioni 20 zimetoka????dah yaani mpaka inabidi ucheke tu
 
Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa kwingine na linaendeleza libeneke lake kama kawaida,Radio one walipigwa stop kusema na kutangaz a lolote kuhusu simba.
Kinachoendelea sasa hivi siyo uchochezi ni uhujumu mafanikio ya simba na naona zaidi ya manara hakuna mwingine anayehangaika na haya makanjanja zaidi ya kipindi fulani magori aligombana na EFM akidhani wao ndiyo wametoa habari ya uongo kwamba wachezaji wa simba hawajalipwa miezi miwili kumbe ilkuwa Ally kamwe ambaye alikuja kuomba radhi, EFM kupitia kwa meneja wao SSebo walikuja juu kwelikweli wakidai brand yao inachafuliwa ila kwenye kipindi chao cha sports HQ uchafuzi wa simba ni lazima kila siku(wahusika ni wawili na wanajijua)siyo wote kuna watu pale kwenye kipindi kile wana weledi kwelikweli ila kuna makanjanja mawili kwa kweli LORD HAVE MERCY
Shaffih dauda alishawahi kupost matokeo ya mechi hewa kwamba simba kafungw a2-0 na green warriors mechi ya kirafiki,mechi ambayo hata haikuchezwa baadaye utetezi wake anasema aliona kwenye post ya oscar oscar
Yote haya makanjanja yanaishika sharubu simba kwa sababu uongozi uko too soft..KUNA NJIA MBILI ZA KU DEAL NAO...TANGAZA RASMI KWAMBA HAMSHIRIKIANI NAO MPIGE MARUFUKU KUTANGAZA HABARI ZENU AU MU WA IGNORE HAKUNA KUPOKEA SIMU ZAO WALA SMS WAENDELEE KUTANGAZA CHUKI ZAO
Embu fikiria leo simba ingekuwa inadaiwa mishahara kama utopolo wanavyodaiwa na kina tambwe,zahera,dante,yondani....ingekuwaje huko redioni?
KARIBU NKAMIA NAJUA HILO LA MAKANJANJA HALITAKUSHINDA
Nadhani ifike wakati Simba s.c. iwachukulie hatua Kali za kisheria,na kudai fidia kwa kuchafuliwa brand Yao.Hii itakuwa ni mwarubaini kwa wale wote wanaoizushia uwongo klabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom