Jinsi ya Kwenda jana na Kesho-Moving accross time boundaries

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,030
3,908
Leo nataka kuleta mjadala mdogo;
Huu ni mjadala unahusiana na uwezo wa mwanadamu kuvuka time borders.Tunajua kwamba in reality sote tumeungwa katika wakati uliopo.

We have no control of the past or the future except through imagination.Katika kufikiria kwa kina unaweza ukaona kwamba pamoja na utata huu inaoneka kuna uwezekano kabisa wa kwenda jana au kesho na kisha ukarudi leo kama ambavyo unaweza toka mbagala,kisha ukaenda mwenge kisha USA just like that.

Najua wengi tunawaza inawezekanaje na kwa kuwa kwa sasa hili swala liko katika ujenzi wa nadharia nataka kwanza tukubali kwamba katika ulimwengu kuna dimensions nyingi sana.Ila nataka tujikite katika TIME-SPACE dimension ambayo ni sawa na dimensions nyingine zote na pili tukubaliane kwamba hizi DIMENSIONS zote zina tabia zinazofanana yaani tabia ya muda ni sawa na tabia ya space.

Vile tukubaliane kwamba pamoja na kwamba dimensions zinafanana kitabia ila dimensions zote ni DYNAMIC yaani zinabadilika RELATIVELY.Hivyo basi kuweza kuhama kutoka sehemu moja kwneda nyingine unabadili SPACE dimension lakini wakati huo huo Time itabadilika na dimensions zingine nazo zitabadilika.

Unapotaka kurudi nyuma katika wakati unahitaji kufanya yafuatayo.Kwanza unatakiwa uhakikishe Hizi Dimensions zote hazibadiliki-Kumbuka ni Dyanamism ya hizi ndo inatupa limit hivo ukiweza kuzicontrol basi unakuwa na uwezo kwenda JANA kama ambavyo ungepanda Gari ukaenda Mwanza na Kurudi.

Kwa sasa tuendelee na mjadala kuhusu uwezekano wa hili kwa wale wenye akili nyepesi tu.Wengine Fanyeni kufollow tu.
 
Back
Top Bottom