Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,807
- 11,968
vipi siku hizi mbona hatupati taarifa za makusanyo ya mwezi?
Ninaishauri TRA ifunge ofisi yake ya Mbagala hata bila wateja ni hatari tupu ina tuvyumba futi nane kwa nane meza nne na wafanyakazi wanapumuliana, wakiingia walipakodi wawili mlango haufungi!