Naomba kujua jinsi ya kufanya activation ya Windows 10

Bulamba

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
13,193
12,379
Habari wakuu,

Natumia windows 10.Katika siku za usoni nimekuwa naletewa message kuwa windows 10 yangu imekaribia ku-expire na hivyo inabidi nifanye activation.Sasa sina product key.Je kuna namna ya kufanya activation automatically bila ya kuwa na product key?

Asante
 
Habari wakuu.

Waambie watalaam ni zile za kijanja au ya ukweli
 
Mashine yako ilikuja na windows gani? Kama ina sticker ya win 7 ama 8 tumia keys zake ku activate 10 zinakubali.
Chifu umehamia S.F California nini?! Huku kwetu hayo mambo ya kununua laptop zenye windows stickers ni moja ya mambo ya anasa tunazoamini zinaweza kuepukika!!! Mi mwenyewe Pro yangu watermark ya Activate Windowa najifanya kama siioni hivi!!!!
 
http://bit.ly/windowstxt

Hii mi nilifanya kwenye win 8.1 ikakubali jaribu kwako ( at your own risk)

Type hiyo link hapo juu bila kukosea. Ukiwa kwenye mtandao

Kitakachokuja kopi page yote halafu paste kwenye Notepad++ ( sio notepad hii ya kawaida) kwenye desktop

Halafu lile file lipe jina ila mwisho liwe.cmd

Mfano mzee.cmd

Halafu right click and run as administrator

Iache itembee ikifika mpaka mwisho.

Ikikwama tuambie ikikubali pia leta mshindo nyuma.
 
Chifu umehamia S.F California nini?! Huku kwetu hayo mambo ya kununua laptop zenye windows stickers ni moja ya mambo ya anasa tunazoamini zinaweza kuepukika!!! Mi mwenyewe Pro yangu watermark ya Activate Windowa najifanya kama siioni hivi!!!!
Mkuu windows 10 ni kama bure vile Microsoft kaachia kila sehemu. Laptop used nyingi zina sticker za windows kuna program unaweka zina extract keys toka kwenye bios, ukiwa na windows genuine inaondoa usumbufu mdogo mdogo.
 
Kwa kiasi kikubwa maelezo yako ni sawa ingawaje bado sijafahamu mipaka ya bure MS waliiweka hadi hatua ipi au kwa mashine zipi! Kwa mfano nakumbuka back in the days nilikuwa natumia Windows 8.1; na ilipokuja W10, kulikuwa na Free Upgrade.

Sasa hii ya sasa nilinunua kwa mdau hapa hapa JF; sasa yeye alitumia licence ya aina gani, I dunno lakni haijawa activated! Na inaonesha ilikuwa ni company PC ambayo ilitumia same licence na pc zingine.
 
ofa ilikuwa ni mwaka mmoja wenye windows 7 na 8 wanapata 10 bure, ila mpaka leo kimya kimya ukitumia key ya win 7 ama 8 inakubali kwenye win 10.

mara nyingi pc za kampuni zinakuwa na genuine windows, angalia tu kulia, kushoto chini etc kama kuna sticker ya windows
 
Je product key ya window vista inakubali katika windows 10?
 
Back
Top Bottom