Naomba msaada jinsi ya KUROOT TECNO LC6

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,111
2,000
Hizo simu achana nazo..... Mambo ya kuroot tafuta simu za kiwangk cha juu ambazo hazitumii processor dhaifu kama Mediatek (MTK). Nazungumzia brand za nguvu kama huwawei, Samsung, sony, na nokia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom