Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,480
- 5,504
Cognitive skills na mbinu/uwezo wa kutazama jambo/kupokea taarifa, kuitafakari, kufanya maamuzi kuhifadhi kwenye kumbukumbu na kuielewa. Ni kitu ambacho mtoto anapaswa kujifunza tangu akiwa na umri dogo na kuendelea nalo hadi anapokuwa mtu mzima.
Kadiri uwezo wako wa kujifunza,kuelewa,kufikiri na kufanya maamuzi ndio na nafasi yako ya kufanikiwa katika maisha inavykuwa kubwa. Kwa mujibu wa taarifa ya Benki ya Dunia ya Maendeleo ya Dunia ya Mwaka 2019. WDR 2019, cognitive skills ni moja kati ya mahitaji makubwa katika soko la ajira katika karne ya 21 na kuendelea.
Hivyo basi ni muhimu kuwekeza katika kuhakikisha kwamba watoto wetu wanakuwa na good cognitive skills and social bhavioural skills ila waweze kushindana na dunia katika karne ya 21.
Ili kumwezesha mwanao kuwa na skills hizi ni lazima ubadili mfumo wa malezi. Kwanza unapaswa kumfahamu mwanao tangu akiwa na umri mdogo na kuhakikisha unakuwa naye karibu katika kumsaidia kuelewa mambo na kujifunza.
Hakikisha mwanao anapata elimu nzuri, hasa early childhood education ikiwa ni pamoja na kumsaidia kujifunza skills hizi mapema. Kisha kutambua uwezo wake hakikisha unampa nafsi ya kujifunza mambo anuai na ku-explore mazingira yake in a good way.
Tambua kwamba katika soko la ajira lililopo mabadiliko yanakuja kila siku hivyo basi inabidi umuandae mwanao kuwa mwepesi kujifunza na kubadilika kulingana na mazingira ikiwa ni pamoja na kumwezesha kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi,kujiamini na kujithamini ili kumwezesha kushinda changamoto za maisha na kuepuka msongo.
Mjengee desturi ya kujifunza,kujisomea na kujieleza kwa ufasaha ikiwa ni pamoja na kumpa nafasi ya kujitetea na kujadiliana nae kuhus changamoto za kimaisha na kielimu ili kumwezesha kuwa za skills nzuri za kuchambua mambo.
Karibuni tujadili kwa pamoja na kwa namna gani kama taifa tunaweza kutumia uwezo na rasilimali zilizopo katika kuwawezesha watoto wetu kukua katika vipaji vyao.