rodian
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 246
- 323
Aina ya kwanza
*Mahitaji*
🔸Vineger chupa nzima
🔸alcohol yenye 90-80 unaweka mls 100 na kuendelea
🔸glycerin hii tunayochanga na mafuta ya kupaka
🔸Maji safi na salama lita moja
*Matayarisho*
Changanya mahitaji yote kwenye chombo kimoja utikise kisha acha dk 5 na baada ya hapo sanitaizer yako tayari.
2: *Aina ya pili*
MAHITAJI
🔸bleach(jik) mls 100
🔸glycerin
🔸maji lita moja
3: *Aina ya tatu*
MAHITAJI
🔸Spirit Mls 100 hizi zinazotumika hospital
🔸glycerin
🔸Maji lita moja
4: *Aina ya nne*
MAHITAJI
🔸Dettol ya maji mls 100
🔸Sabuni ya kuoshea mikono ya maji mils 100
🔸Maji lita moja.
*ZINGATIO*
🔹 *Kwanini utumie pombe kali(Spirit) ni kwakuwa zina amount kubwa za alcohol na bacteria au kirusi hakiwezi kuishi kwenye aclohol nyingi.
🔹 *Kwanini vineger ni kwakuwa ina acid nyingi na bacteri au virusi haviwezi kuishi hapo*
🔹 *Kwanini Bleach au Jik kwa sababu ina sodium hypochlorite ambayo huua vijidudu*
🔹 *Kwanini gylcerin kwa sababu ina fanya ngozi kuwa smooth maana michanganyiko yote hiyo bila kitu kilainishi mikono itakauka na kukamaa maana michangayiko yenye asili ya acid na alcohol ukausha ngozi*
🔹 *Dettol inatumika kwa kuwa ingredients zake nyingi zina ua bacteria na vijidudu na hii ndio kazi ya dettol hasa*
🔹 *Spirit ni kwakuwa ina kiwango kikubwa cha alcohol hata ukiivuta tu una lewa ndio sababu hospital hutumia hii na kuiweka jivii iwe ya blue tusiinywe maana ikiwa plain ni pure wote aisee ni kali hakuna kidudu kinachoweza kuishi mbele ya siprit*
🔹 *Maji Ndio kitu pekee kinachoweza kuzichujua hizo chemical ili kuondoa athari kwa binadamu kwenye ngozi kama vile muwasho,mzio,ukavu n.k*
MATUMIZI
♦ *Unaweza kutumia wakati wote muda wa kuexpire yaan mwisho wa matumizi ni wiki mbili na usiiache wazi.Asante