jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania msaada: jinsi ya kupakua picha kutoka facebook

    Habari. Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar. Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine Naomba msaada ni njia gani nitumie Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
  2. JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kubadili jina

    Naomba kujua utaratibu wa kubadilisha jina kwa mtoto au mtu mzima
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Nisaidieni namna ya ku-skip Instagram story yenye tag ya jina au post

    Habarini, Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje Nawasilisha, Nawategemea.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) atujuze kufuatwa hakuishi na chuki zimezidi zipo kimya kimya

    Tupo nchini kwetu tumeiba cha nani, nchi ni ya kila mtu na kila mtu ana haki ya kuishi, kwanini tunafuatiliwa kimya kimya na kupewa kesi ambazo hatuna na hatuja wahi kuzifanya, wanataka watuue wote tuishe? Naomba kwa anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) na kufika atusaidie kama ni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutoa pesa Neteller and Skrill to Tanzania mobile networks

    Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network. Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo jinsi ya kupata lebo na vikopo vya plastic vyenye mifuniko

    Asalam aleykum jamiya Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa kipekee nilio jifunza wakati nikiwa africa ya magharibu. -Mafuta ya kuondoa pimples kwa haraka and...
  7. JamiiForums Tanzania Maelezo kwa kifupi ya jinsi ya kuanzisha chuo cha elimu ya ufundi stadi nchini

    MAELEZO KWA KIFUPI YA JINSI YA KUANZISHA CHUO CHA ELIMU YA UFUNDI STADI NCHINI 1 Utangulizi Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya ufundi stadi(VETA) ilianzishwa chini ya sheria Na.1 ya mwaka 1994 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2006 kwa lengo la kusimamia, kuratibu na kuendesha elimu na mafunzo...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza You Tube channel

    Jinsi ya kufungua akaunti ya Youtube, 1. Anza kwa Jisajili kwenye akaunti ya Google (Kama hauna) Ili kuweza kuangalia maudhui ya video kwenye YouTube, kutenegeneza akaunti ya YouTube, kushare, kutoa maoni (comments) unapaswa kuwa na akaunti ya Google. Jinsi ya kusajili akaunti ya Google...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kujua kama shule ya msingi imesajiliwa Wizarani

    Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali. Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kuihudumia Nissan March

    Habari zenu wana jukwaa? Mimi kwa sasa ni Mkaazi wa Zanzibar, niliporudi nyumbani nilivitiwa na Muonekano wa Nissan March nikaamua niinunue, ila Marafiki zangu wa karibu wamekua wananilaumu sana kwa nini nimenunua Nissan March na nisinunue gari za Toyota kama IST? Hivo wana jukwaa nawaombeni...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kupika machoba chakula cha asili kusini

    Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu). Jinsi ya kupika. Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama makopa ni mazima lakini kama ambayo yameliwa na wadudu yanaenda kuoza kidogo huwa ni matamu zaidi na...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
  13. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

    Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko. Nahitaji kujua vp nami naweza kuwa msambazaji yan nikauziwa kwa bei ya kiwandani utaratibu ukoje.Hapa namaanisha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Magufuli, Nyerere alielewa mataifa tajiri yanatuonea, kutuingilia na alijua jinsi ya kubabiliana nayo kwa busara bila nguvu na umwamba!

    Kuna kitu kimoja ambacho Magufuli anapaswa kutafakari sana - jinsi ya kukabiliana na mataifa tajiri pale ambapo anaona kama yanatukandamiza au kutuingilia. Nasema hivi kwa kuwa ni wazi sana Magufuli anapewa ushauri usiofaa na Kabudi - kujaribu kuyakabili haya mataifa kama vile tuko sawa nayo -...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma maandishi na vitabu vya lugha yoyote ile

    Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu, ni kwamba kutokana na maendeleo ya kiteknolojia swala la kujua lugha limekuwa sio tatizo tena kwa wewe kujipatia maarifa. Sasa mm Leo ningependa kushare na nyinyi habari hizi. Kwa kuwatumia video mbili ambazo ni part 1 inahusu kutafsiri hardcopy...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Ku Unlock Router Vodafone r207-z

    Habari wakuu, ninaomba msaada wa ku unlock hii vodafone router (vodafone R207-Z) ili niweze kutumia mitandao yote. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tazama kila kina muundo na jinsi ya kustajabisha

    Vitazame vitu vyote: hai na visivyo hai, muundo wao na jinsi yao ni ya kustajabia. Ni kwa namna gani vitu hivi vimepangwa katika mpangilio huo, ni jambo pia la kustajabia. Hakuna kitu kilicho hai au kisicho hai ambacho kinaonekana kwamba hakina na hakipo katika mpangilio mahsusi. Kila kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Command Line Interface

    Habari wataalamu Natumia windows desktop Windows Ten pro. Sasa naomba mnielekeze namna ya kutumia au ku enable CLI (Command Line Interface) Na pia jinsi ya ku disable GUI (Graphical User Interface) Maana lengo langu ni kutumia CLI peke yake. Natanguliza Shukrani.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongea unaposhinda Uchaguzi, au unaposhindwa. Chama Tawala na Wapinzani wanapaswa kujifunza

    Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi. Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria. Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ripoti ya BBI ya Kenya jinsi ya kumaliza ukabila naiweka Watanzania tusome Tuwashauri hapa

    Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…