Msaada jinsi ya kununua shares za makampuni ya nje ya nchi

Ungekua specific nchi husika nadhani ingemuwekea mazingira mazuri wanaojua kukusaidia, vuta subira wataalam wanakuja!
 
Unaweza kununua kupitia Forex account (especially MT5), ingawa humu JF kuna watu ukisema Forex wanahis ni utapeli.

Cheki makampuni hayo kwenye MT5 na hyo nna access kwenye sim yangu unaona hapo juu inasoma Vodacom 3G.

You can buy anytime 24/7
Mfano kipindi hichi cha Corona ungekua umewahi ungenunua share za Zoom Video Communications na TikTok watu wamepiga hela sana

View attachment 1561201
Kwa hiyo hatahitaji Broker?
 
Asante sana mkuu.
 
Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna uwezekano wa mimi mtanzania kununua shares za kampuni yoyote ya nje ya nchi, hasa Ulaya.

Naomba kama kuna aliyeweza kufanya hivyo anisaidie kunipa mawazo.
Inawezekana kabisa. Tafuta website ya kampuni, kuna section ya investors, watakueleza kila kitu.
 
Back
Top Bottom