wanabodi salaam.
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata..
Naomba kwa anayejua anisaidie plz
Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
ninatamani sana kuweza kufanya hili jambo maana kuna video ya megician mmoja anasogeza vitu bila kushika nani atanisaidia
Bado na search tutorial youtube
Mimi BabaMorgan ni mshamba licha ya kuwa nimezaliwa jijini(Amana Hospital-Ilala) huko Dar es salaam ila kwa sasa naishi huku kaskazini magharibi ushamba wangu unaanzia kwenye lafudhi licha ya kuzaliwa Dar es salaam kitu cha kustaajabisha nina lafudhi ya kisukuma na ulimi mzito kiasi kwamba...
Wakuu Kwema?
Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death".
Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan hivi pale Machinga Complex wakachukua 50k kuliondoa. Sasa imetokea tena.
Kuna mwenye kujua hii...
JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10
Anaandika, Robert Heriel.
Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
Wakandarasi wengi wa Tanroads na Tarura walipewa kazi kabla bei za vifaa vya ujenzi na mafuta kupanda. Ieleweke kuwa asilimia kubwa ya vifaa vinavyotumika katika ujenzi vimepanda bei kwa asilimia kubwa na bei iliyofikiwa kati ya Wakandarasi kwa sasa ni ya chini sana na kazi wanazofanya kwa sasa...
Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita.
Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele?
Kozi zipi pia za diploma za muda mfupi mtu unaweza kusoma kwa matokeo ya form four ya div2.
Asante.
Habari wakuu
Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake
Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja,
Duka lenye wateja...
Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana.
Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
Tatizo la kuharisha safarini linatatiza sana na pia huabisha. Shida hii husababishwa na sumu zilizotengenezwa na bakteria au virusi uliowameza kwenye msosi. Ni jinsi gani ya kujizuia.
1. Usile vyakula vichafu hasa usiku kabla ya safari. Wengi wanaopata shida ya kuharisha safarini si sababu ya...
Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa..
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋
ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi
UTANGULIZI
Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili...
Habarini jamani,
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea.
Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji apikwe chukuchuku. Back to the topic. Mhogo uliochemshwa na kuiva kabisa ukiwa bado wa moto unwekwa...
Shikilia msimamo wako. Ikiwa unampa mtoto wako kila kitu anachotaka kwa sababu tu analipuka kwa hasira, yaelekea ataendelea kufanya hivyo kila mara anapotaka kitu fulani. Kwa utulivu mwonyeshe mtoto wako kwamba hutalegeza msimamo wako.
Elewa hali yake. Mtoto wako si mtu mzima. Kwa kuwa hajui...
Habari za wakati huu;
Kama wewe ni mfuatiliaji wa makala zetu basi utafahamu kwamba tumekuwa tukijitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kushea baadhi ya maarifa na taarifa ambazo tunazo kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali wadog na wakati katika kusimamia na kuendesha biashara zao.Wengi ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.