Hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza tovuti yako binafsi/ofisi au kwaajili ya kujiingizia kipato

Abuu Abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,447
1,770
Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa..

Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋

ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi

UTANGULIZI
  • Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili ya mambo yako binafsi/Ofisi hapa ni Mahala pake.
  • Ikiwa unahitaji kujiingizia kipato kwa kutumia tovuti hapa pia ni mahala pake
Utajifunza kutengeneza tovuti kwa garama za kawaida kabisa.

Kesi yetu stadi tutakayoitumia kwenye maelezo haya ni mtandao huu “ zanturka
Huo hapo juu ni mfano wa mtandao nilioutengeneza ndani ya siku 5 zilizopita, nikimaanisha kuwa huo mtandao una umri wa siku 5 kutoka sasa na tayari post zake zote zimekuwa indexed (zinapatikana kwenye Search engine ya google)

20220331_143333.jpg

Hiyo picha ya juu inaonesha post ya kwanza ikitokea google dakika 6 baada ya kuwa-published

20220331_144108.jpg

Hiyo picha ya juu inaonesha post mbali mbali zimeanza kutokea baada ya kuwa published​

Kujua gharama utakazotumia, Muda na Mahitaji mengine ya tovutu kama hiyo na zinazofanana nazo basi soma mpaka mwisho

MAHITAJI
1. Ubunifu : Lazima uwe na idea ya Tovuti unayotaka kutengeza
2. Upatikanaji wa Internet
3. Kifaa cha kutumia : Simu, Computer (Unaweza ukatumia Simu janja yako kuanzia mwanzo hadi mwisho bila tatizo lolote)
4. Gharama: kati ya 2,900Tsh (elfu mbili na mia tisa) na kuendelea, kulingana na mahitaji yako pamoja na nyakati husika unaofanya malipo.

HATUA YA KWANZA
Kwanza kabisa utahitaji kusajili jina la mtandao wako utakaotumia (domain name) mfano jamiiforums.com , zanturka.com nk.
Ziko kampuni nyingi ambazo zinatumika kusajili jina la Mtandao, zipo za kitanzania pia ziko za kiglobal.

Kampuni Mashuhuri kwa kusajili Domain ni Godaddy na ndio ambayo tutaitumia leo hapa kwaajili ya kusajili mtandao wetu

20220331_150217.jpg

Ingia kwenye mtandao wao Godaddy kisha search domain name unayotaka kutumia kama nilivoandika na kusearch hapo juu

Then utafuata hatua kukamilisha manunuzi ya domain name hiyo
  • Domain name inaweza kukukost kati ya 28,000Tsh kwa kawaida,​
  • Bei ya chini kabisa 2,900Tsh ( hii huwa inavari/inabalika badilika kulingana na % za Offa)​
  • Gharama huendelea kuwa juu kulingana na muda husika na aina ya domain ambayo unanunua pia kutegemea na kampuni unayonunua​

HATUA YA PILI
Chagua Hosting Company na uunganishe domain yako

Ili Tovuti wako uweze kutokea kwenye search engines mfano google, bing nk inabidi uihost kwenye kampuni zinazotoa hosting kama vile :

Hostigator, Hostinger, Interserver, Bluehost nk

Hosting Company mashuhuri tutakayoitumia hapa ni Interserver , kutokana kwamba iko simple, iko-best na wana Offer nyingi.

Ingia kwenye page yao interserver

20220409_143932.jpg

Weka jina la domain uliyonunua Dodaddy, endelea kwa kuweka mahitaji yako ya hosting na lipia hosting kulingana na Mahitaji yako.

JINSI KUUNGANISHA DOMAIN NA HOST

  • Ukishalipia hosting yako utafunguka ukurasa kama huu hapa chini, kwenye hosting acc yako
20220409_145441.jpg

Utakuta domain yako domain yako kwenye “ Web Hosting ”

Ibonyeze hiyo domain yako.

Utapelekwa ukurasa mwenyinge wenye taarifa ambazo utatakiwa kuzicopy na ukazipaste kwenye mtandao wa Godaddy uliponunulia domain.

Taarifa unazotakiwa kuzicopy utazikuta kwenye kipengele kimeandikwa
DEFAULT DNS SERVER

Taarifa hizi za juu, taarifa namba 1 na taarifa namba 2, ndio utaziweka Godaddy kwenye sehemu husika namba 1 na namba 2.

  • Rudi kwenye ukurasa wa Godaddy, Tafuta na ubonyeze neno “ My products ” => “Manage DNS” => “Change Nameservers”
  • Paste zile taarifa ulizozikopi kwenye hosting acc yako, namba 1 paste kwa 1 na namba 2 post kwa 2 then save changes.
Inaweza kuchukua mda kidogo kwa changes kutake effect

20220407_221751.jpg

Baada ya hapo, tayari umefanikiwa kuunganisha Domain yako na hosting Company

□ Nitaendelea Namna ya kuingiza Worpdress (software ambayo utakuwa unatumia kuendeshea tovuti yako)
□Jinsi ya kutengeneza tovuti kwa kutumia gharama kidogo
□Namna ya kuingiza kipato kutokana na Tovuti
□Na vitu vyengine Muhimu

☆ Kwa usaidizi wa ana kwa ana (premium services) ni pm

Abuu Abdurahman

Karibuni

20220409_143932.jpg

20220407_221751.jpg
 
Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa..

Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋

ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi

UTANGULIZI
  • Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili ya mambo yako binafsi/Ofisi hapa ni Mahala pake.
  • Ikiwa unahitaji kujiingizia kipato kwa kutumia tovuti hapa pia ni mahala pake
Utajifunza kutengeneza tovuti kwa garama za kawaida kabisa.

Kesi yetu stadi tutakayoitumia kwenye maelezo haya ni mtandao huu “ zanturka
Huo hapo juu ni mfano wa mtandao nilioutengeneza ndani ya siku 5 zilizopita, nikimaanisha kuwa huo mtandao una umri wa siku 5 kutoka sasa na tayari post zake zote zimekuwa indexed (zinapatikana kwenye Search engine ya google)

View attachment 2170321

Hiyo picha ya juu inaonesha post ya kwanza ikitokea google dakika 6 baada ya kuwa-published

View attachment 2170333

Hiyo picha ya juu inaonesha post mbali mbali zimeanza kutokea baada ya kuwa published​

Kujua gharama utakazotumia, Muda na Mahitaji mengine ya tovutu kama hiyo na zinazofanana nazo basi soma mpaka mwisho

MAHITAJI
1. Ubunifu : Lazima uwe na idea ya Tovuti unayotaka kutengeza
2. Upatikanaji wa Internet
3. Kifaa cha kutumia : Simu, Computer (Unaweza ukatumia Simu janja yako kuanzia mwanzo hadi mwisho bila tatizo lolote)
4. Gharama: kati ya 2,900Tsh (elfu mbili na mia tisa) na kuendelea, kulingana na mahitaji yako pamoja na nyakati husika unaofanya malipo.

HATUA YA KWANZA
Kwanza kabisa utahitaji kusajili jina la mtandao wako utakaotumia (domain name) mfano jamiiforums.com , zanturka.com nk.
Ziko kampuni nyingi ambazo zinatumika kusajili jina la Mtandao, zipo za kitanzania pia ziko za kiglobal.

Kampuni Mashuhuri kwa kusajili Domain ni Godaddy na ndio ambayo tutaitumia leo hapa kwaajili ya kusajili mtandao wetu

View attachment 2170372

Ingia kwenye mtandao wao Godaddy kisha search domain name unayotaka kutumia kama nilivoandika na kusearch hapo juu

Then utafuata hatua kukamilisha manunuzi ya domain name hiyo
  • Domain name inaweza kukukost kati ya 28,000Tsh kwa kawaida,​
  • Bei ya chini kabisa 2,900Tsh ( hii huwa inavari/inabalika badilika kulingana na % za Offa)​
  • Gharama huendelea kuwa juu kulingana na muda husika na aina ya domain ambayo unanunua pia kutegemea na kampuni unayonunua​

HATUA YA PILI
Chagua Hosting Company na uunganishe domain yako

Ili Tovuti wako uweze kutokea kwenye search engines mfano google, bing nk inabidi uihost kwenye kampuni zinazotoa hosting kama vile :

Hostigator, Hostinger, Interserver, Bluehost nk

Hosting Company mashuhuri tutakayoitumia hapa ni Interserver.net , kutokana kwamba iko simple, iko-best na ina Offer nyingi.

Ingia kwenye page yao interserver.net
View attachment 2181583

Weka jina la domain uliyonunua Dodaddy, endelea kwa kuweka mahitaji yako ya hosting na lipia hosting kulingana na Mahitaji yako.

JINSI KUUNGANISHA DOMAIN NA HOST

  • Ukishalipia hosting yako utafunguka ukurasa kama huu hapa chini, kwenye interserver acc yako
View attachment 2181586

Utakuta domain yako domain yako kwenye “ Web Hosting ”

Ibonyeze hiyo domain yako.

Utapelekwa ukurasa mwenyinge wenye taarifa ambazo utatakiwa kuzicopy na ukazipaste kwenye mtandao wa Godaddy uliponunulia domain.

Taarifa unazotakiwa kuzicopy utazikuta kwenye kipengele kimeandikwa
DEFAULT DNS SERVER

View attachment 2181595
Taarifa hizi za juu, taarifa namba 1 na taarifa namba 2, ndio utaziweka Godaddy kwenye sehemu husika namba 1 na namba 2.

  • Rudi kwenye ukurasa wa Godaddy, Tafuta na ubonyeze neno “ My products ” => “Manage DNS” => “Change Nameservers”
  • Paste zile taarifa ulizozikopi kwenye hosting acc yako, namba 1 paste kwa 1 na namba 2 post kwa 2 then save changes.
Inaweza kuchukua mda kidogo kwa changes kutake effect

View attachment 2181611

Baada ya hapo, tayari umefanikiwa kuunganisha Domain yako na hosting Company

□ Nitaendelea Namna ya kuingiza Worpdress (software ambayo utakuwa unatumia kuendeshea tovuti yako)
□Na vitu vyengine Muhimu

Karibuni

#Abuu Abdurahman

View attachment 2181582

View attachment 2181594
Usituache njiani!
 
Back
Top Bottom