Habari za leo WanaJF,
Rejea, kichwa cha uzi hapo juu.
Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website yao button ya APPLY NOW haifanyi kazi.
Kama kuna mtu anajua direct link ya kuapply naomba anisaidie.
Wakuu habari,
Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba.
Asante sana 🙏
Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au kuwapaparikia wanawake.
Wazee amini usiamini ukiwa bize na mambo yako yaani na life lako mademu...
Mwandishi wa kitabu chenye jina lisemalo 'Jinsi ya kumuua mume wako' kutoka nchini Marekani aitwaye Nancy Crampton Brophy, mwenye umri wa miaka 71 amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake aliyoyatekeleza mwaka 2018.
Imeelezwa kwamba tukio la mauaji...
Nimekuwa nikifanya freelancing kwa zaiid ya miaka 7 sasa.
Nilikuwa na bado uwa naendelea kushare na watu humu tips za freelancing na mambo mengine lakini weekend ijayo nimejisikia kushare nanyi tips zaidi.
Hivyo kwa wale watakaopenda kushiriki, nitafanya online mentoring kwa 1 hour kupitia...
Habari za muda huu!
Samahani sana naomba kwa anaejua namna nzuri ya kuandaa siki ya mbilimbi iwe nzuri na tamu, kwa kutumia viungo mbalimbali kama vile nazi; pilipili; nyanya na kadharika.
Maana nina mti wangu hapa nyumbani umezaa sana na sijui namna bora ya kuandaa siki hiyo.
Najua humu ndani...
Mikono yako inaweza kutumika kukadiria kiasi cha chakula unachotakiwa kula kwa mlo mmoja. Ufuatao ni muongozo wa kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono kama kipimo:
1. Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi kama vile ugali, wali, viazi: Kiasi sawa na ukubwa wa ngumi moja
2. Matunda Kiasi cha...
Sio kila kiwanja kinaweza kukutengezea fedha. Sio kila nyumba ya kupangisha inaweza kukutengezea kipato kikubwa na kipato endelevu kwa kila mwaka. Kwa sababu hii, unahitaji kufanya tathmini kabla ya kufanya uwekezaji kwenye ardhi/nyumba.
Kwenye somo hili nimekuandalia mambo ya msingi sana ya...
USIACHE AJIRA KABLA YA KUJITATHIMINI KWANZA: hapa namaanisha ujiulize je ajira yako inakupa furaha au inakukera na unaenda tu ili uweze kukidhi mahitaji yako ? na je ukijitathimini ukiwa uzeeni kwako baada ya kuendelea na hiyo ajira bila kujaribu kujiajiri utajilaumu au hautajilaumu? basi...
Wakuu,
Fanyeni hivi:
Chukua ndizi Saba au nane zilizoiva kabisa.
Zioshe kwanza kwa maji Safi.
Menya (toa maganda) halafu hayo maganda weka kwenye sufuria Safi,weka maji kwenye sufuria kama lita Moja hivi!
Chemsha mchanganyiko wa maji na maganda hadi uchemke kama chai Hadi maji yabadili rangi...
Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android.
Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado.
Je, naweza kuroot hiyo operating system
Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga.
Ingia settings
bofya screen time
turn on screen time kama hujawasha
bofya App limits
bofya add limits
chagua application yako
kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
Habari wataalam nifafanue kidogo ni kwamba kuna wakati huwa nalifuta faili la whasap kisha nalirudisha.
Sasa hapo ndio huwa shughuli inaanza au tuseme vita ya kiev na moscow inapoanza meseji zinaingia kama upupu.Sasa kuna utaalamu hapo wa kuzizuia hizo msg zisiingie?
Karibuni.
Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango...
Hamjambo marafiki, natumain mji wazima Leo hii nineamua kuchukua fursa hii kutoa mwingozo kiaina kwa yeyote ambaye anavutiwa na wazo la kumiliki blog.
Blog Ni nini ... Blog Ni kurasa za taarifa mbali mbali zeny kufuata kundi au aina ya taarifa, yaweza kuwa michezo,muziki,chakula nk
Mfano wa blog...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.