Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika.
Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kipindi ambacho mpangaji atakuwa katika nyumba ya mwenye nyumba.
Uwekezaji...
Habari za wakati huu;
Ndugu zangu hapa jukwaani nimekuwa nikiona watu wengi wakihangaika juu ya kukosa wateja wa bidhaa au huduma zao na wengine wakilalamika juu ya kukosa connection.
Connection au mtandao nini?Connection au mtandao ni orodha ya watu ambao wana uwezo wa "kukuwezesha".Iko hivi...
Habari zenu za muda huu wakuu? Naomba nipate uhakika ni hiki ninachofikiria.
Kwenye Kipengele cha "Job Preference" unapojaza form ya TaESA ni sahihi kwamba unatakiwa ujaze kazi ambazo ungependa kuzifanya kutokana na taaluma yako?
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS
Diminishing ni kupungua kwa kitu
Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani.
Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu ukiongeza juhudi basi kitakuzalishia zaidi, ila kadri unavyozidi kuongeza juhudi bila kuongeza vitu...
Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana...
Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba.
Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara
Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja.
Ahsante
Habari,
Naitaji kufaham jinsi ya kupata access ya API ya NECTA ili kuweza kuverify index number ya mwanafunzi au utaratibu wowote au mwenye nazo anaweza kushare.
Asante!
SABABU ILIYOJIFICHA GARI YAKO KUTUMIA MAFUTA ZAIDI NA MATATIZO MENGINE
Wasiliana na mimi +255788624499 nikusafishie Mass Air Flow (MAF) senso.
Soma zaidi...
Dalili za MAF sensor inahitilafu ni,
1. Engine ni ngumu kuwasha.
2. Engine inazima muda mfupi baada ya kuwaka.
3. Engine inasitasita au...
Lenovo XIIM 2-in-1 laptop slim and nice
Affordable 2-in-1 Tablet 10 windows tablet with detachable keyboard and hi-res display 11 Size
••Processor : Intel Atom X5 ••Generation: 6th
••RAM 4GB (DDR4)
••Storage: SSD 64GB. GB Extra
••Touch screen ✔️
Let your fingers do the talking
••Long...
Habari wakuu.
Mtaani hali si hali mtaji umekua changamoto kubwa sana kwa vijana wengi. Wengi huishia tu madayworker na inshu za kuunga unga tu.
Sasa huwa nasikia kuhusu mikopo inayotolewa na serikali kwa ajili ya vijana, walemavu na wanawake.
Kwa waliowahi kuomba hii mikopo ama kuipata hii...
Habari ya leo wakuu, samahani
Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu
Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k
Napenda nitumie laptop kufanya kazi hiyo kutokana na mazingira yangu kibiashara kuwa ya kusafiri mara...
Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida.
Wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili...
Habari wanajukwaa,
Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa hawajionyeshi au kujitangaza kwa watu kuhusu wanachofanya.
watu wengi wamekuwa...
Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....)
Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna...
wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto.
IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto.
( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. )
Kabla sija elezea mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.