Jinsi ya kutengeneza Program ya computer(Software)

tzhosts

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
380
468
logo.gif

Kwanza nianze kwa kueleza wazi kwamba mimi ni mdau katika mawanda haya ya Utengenezaji na usambazaji wa mifumo ya Computer na kwamba ninaamini kwamba kama watanzania tunapaswa kuwekeza sana katika kupeana elimu hii adhimu ya utengenezaji wa mifumo ya computer.Hata hivyo andiko langu hili sio andiko la kitaaluma na halilengi kuwa exhaustive bali linalenga kutoa mwanga tu kwa watengenezaji au wale ambao wanalenga kujifunza kutengeneza mifumo ya kompyuta.Lakini pia ninalenga kuleta mchango wangu katika kupatia watu maarifa kwa lugha ya kiswahili.

Utangulizi
Program za computer ziko nyingi.Mfano simu yako inao mfumo wa computer ambao unaiwezesha kufanya yale unayofanya.Unapopakua application kwa ajili ya simu janja yako unakuwa umepakuwa program ya aina fulani.Program za kompyuta huandika kwa kutumia mfumo binary digits yaani mtiririko wa moja na 0.Kwa maana hio basi kadiri programu inapokuwa kubwa na ndivyo idadi ya moja na sifuri inakuwa nyingi.Kwa mfano wengi tunajua kwamba ukihesabau namba 0,1,2,3,4,5,6,7,8,9 10,11..... ukifika 9 namba inayofuta ni marudio ya namba ya kwanza na ya pili kisha inaendelea tena mpaka 20 na kuanza tena kujirudia ambayo hii inaitwa base 10.numeration(Mfumo wa namba wa kikomo cha kumi.)kama tukifanya kikomo cha basi sita itaandika kama 10 saba itakuwa 11 nane itakuwa 12 tisa itakuwa 13 na kuendelea.Sasa katika binary namba kubwa kabisa ni 1 yaani unaanza kuhesa 0,1 kisha namba ya tatu inakuwa ni 10 ya nne inakuwa ni 11 ya tano ni 100 na kuendelea.Zingatia kwamba katika kuhesabu nimewekamo na namba sifuri kama sehemu ya mtiririko.

Huu mfumo wa kuhesabu unaoishia na namba 0,1 na kujirudia ndio unaitwa binary.Sasa katika integrated circuit ya computer hizi moja na sifuri zinawakilia ON na OFF yaani zima na washa.Kwa hivyo basi programu ya computer huwa inaelekeza zima au washa kwenye mfumo wa computer ili kufanya calculation za aina tofauti.Sasa unaponunua computer huwa unakuta na kuna vitu vinaitwa sijua processor speed na storage hizi zinaamua kiasi cha 1,0 ambazo zinaweza kufanywa kwa wakati fulani na kiasi cha state za 1 na 0 zinazoweza kuhifadhi kwa wakti mmoja.Kadiri inavokuwa kubwa basi na uwezo wa computer nao unakuwa mkubwa.

Kama ukiamua kuandika program ya komputer kwa kutumia 0,1 basi unaweza kujikuta humalizi kuandika kwa sababu ni sawa na uambiwe uandike milioni moja kwa kuorodhesha namba zote zinazounda milioni yaani badala ya kuandika 1,000,000 uandike 1,2,3,4,5...... mpaka ufike milioni.Sasa ili kurahisisha ili zoezi la kuandika hizi namba watalamu wa Kompyuta waliamua kuleta lugha ambazo zinaeleweka na binadamu ambazo ndo unasikia zinaitwa programming languages ili zifanye kazi ya kubadili lugha za kibinadamu na kuzifanya ziwe lugha za mashine yaani 0,1 au binary.Baadhi ya lugha hizo ni pamoja na markup languages, kama html na xml ambazo huwezesha muonekano wa aina fulani na programming language ambazo zinatoa maelekezo ya ni i kifanyike wakati gani.Lugha hizi hutumika kwa nyakati tofauti wakati wa uandishi wa program za komputer.Iwapo unataka kujifunza kutengeneza program za komputer unaweza kuanza kwa kujifunza kutumia hizi mark languages kwani ni rahisi kujifunza na rahisi kufanya vitu vidogo kwa ajili tu ya kupata ujasiri.Unaweza kuanza kwa kujifunza kutumia HTML ambayo inahitaji tu uwe na computer yenye Web Browser na text editor.Ninapozungumzia text editor namaanisha aina ya program ambayo ni nyepesi ambayo unaweza kuandika kitu na mara zote ukisave(kuhifadhi kwenye komputer yako neno/jina litaishia na herufi txt.Huwa inaitwa plain text editor.hata hivyo kuna proffessional text editors ambazo unaweza kuzitumia kwa ajili ya programming.Nyingine ni SIMPLE na nyingine zina uwezo mkubwa.Ukitaka kupata moja wapi jaribu tu ktafuta google neno TEXT editors free.Kama ndio unaanza tumia notepad++ ila unaweza jaribu yoyote ile kwani kazi zinafanana na tofauti ni uwezo wake tu.

Baada ya utangulizi huu sasa tuendelee.

HATUA ZA KUFUATA KATIKA KUTENGENEZA PROGRAM.

Hatua ya Kwanza Kuamua mahitaji

Katika hatua hii mtengenezaji anatengeneza mahitaji ya Program yake.Katika eneo hili ni muhimu sana kuwa na kitu kinaitwa Process TREE ambayo itaelezea kila PROCESS inaanzia wapi na inaishiwa wapi na inategemea Process gani nyingine na ni Process gani nyingine zinaitegemea.Hili ni eneo muhimu sana kwani bila kuwa na mahitaji sahihi na mtiririko sahihi hakuna program sahihi.Katika kufanyia kazi hatua hii ni muhimu sana kwa programmer kuamua au kutambau inputs na outputs za kila hatua.Kwa mfano kama unataka kutengeneza mfumo wa mauzo lazima utambue KEY process za mfumo wa mauzo katika ulimwengu wa kawaida ambapo huwa Kuna MANUNUZI YA MZIGO NA MAUZO YA MZIGO KATIKA MANUNUZI KUNA WANAOKUUZIA MZIGO NA KATIKA MAUZO KUNA WANAONUNUA MZIGO.Kama unataka kuunganisha hizi process ni lazima uhakikishe kwamba kila process unaitengeneza katika ukamilifua wake katika real world.

Unaweza kutumia majedwali kuelezea kila process na kuhakikisha kwamba kila eneo linalohusika unaligusa.majedwali yanaweza kuwa na rangi na mishale tofuati kuonesha uelekeo wa kila hatua.

Ukishahamua mahitaji utatambua iwapo unahitaji kuwa na DATABASE na iwe wapi,Utaamua iwapo unahitaji kuwa na USER interphase ziwe wapi na kama utahitaji kuwa na SECURITIES ziwe wapi na kama utakuwa na watumiaji tofauti wawe wanagapi.

Kumbuka hatua hii ikiwa kamilifu unaweza kumpa coder(mwandishi wa code za programu yeyote na akaweza kutengeneza angalau sample ya programu yako)

Katika hatua hii unatakiwa ufahamu kwamba nyaraka hii itakusaidia kuandaa nyaraka za mafunzo,nyaraka za usimamizi wa program na nyaraka za kufanyia promotion ya programu yako kwani hii ni kama Blue Print au ramani ya nyumba.Ikiwa mbaya basi nyumba itakuwa mbaya na ikiwa nzuri nyumba itakuwa nzuri.

Baada ya kuamua mahitajitaji hatua inayofuata ni kuamua jinsi ya kutengeneza programu yako.

Hatua ya Pili Kuandaa mpango wa utengenezaji wa Programu yako;

Katika hatua hii utaamua utumia rasilimali gani katika kutengeneza programu yako.Kwa mfano UTUMIE Programming language gani na kwa nini?Uifanye iwe Cloud based or local Je iwe modular au isiwe modular.Vitu unavoangalia katika hatua hii ni pamoja na uwezo na utaalamu uliopo kwa upande wa watengenezaji,watumiaji wa mwisho na wasimamizi.Kiwango cha utaalamu unaohitajika kitaamuliwa kwa kuangalia kigezo hiki.Hakuna sababu ya kutengeneza program kwa kutumia Complex au programming language zinazoenda kupitwa na wakati ilhali zipo lugha ambazo ni za kisasa.

Kama Programmers wako ni wataalmu wa Java basi hakuna sababu ya kulazimisha kutumia python.Na kama watumiaji wako wa program ni wa kiwango cha kawaida hakuna haja ya kufanya program iwe ngumu kwa mtu kujifunza kutumia.

Baada ya kuandaa mpango wa kutengeneza program na kugawa majukumu kulingana ama na eneo au timu au ujuzi sasa unaweza kwenda katika hatua ya kutengeneza programmu kwa kuzingatia sintaksia ya lugha uliyochagua,environment na muda.

Kuna hatua ya kutengeneza/kuandika code pamoja na kufanya testing and debugging ambazo huwa ni endelevu.

Vile hata kama wakati wa kuweka mahitaji uliweka mengi sio lazima uyatengeneze yote kwa wakati mmoja unaweza kuanza taratibu na kuendelee kufanya maboresha kwa kutoa matoleo mapya kulingana na mahitaji yako.Ndio maana hata android ziko version tofauti hata whatsap huwa unaambiwa uweke new update ni kwa sababu development ni process endelevu.

Cha muhimu ni kuhakikisha kuwa unaweza kutengeneza program mapema iwezekanavyo.Unaweza fanikisha hilo kwa kutumia libraries za aina mbalimbali ambazo zitakurahisishi kufanya baadhi ya vitu vya kawaida kama kuunganisha database,kurudisha taarifa.n.k.

Hii mada ni mada chokozi kwa ajili ya kubadilishana maarifa na yeyote anayependa kujifunza anaweza kuchangia kwa kutoa maoni na ushauri.Kwa wale ambao wako github na wana projects ambazo wangependa wengine wazifahamu wanaweza kuziweka hapa ili kupata collaborators.

Karibuni kwa mjadala
 
Kwanza kabsa nikupongeze kwa kuweza kufanya lugha ngum za kiteknolojia na kiingereza ...kuzielezea ktk lugha rahisi ya kiswahili bigup urself.
Pili hii elimu ya ujuzi wa programming ni elimu pana na kubwa na MUHIMU zaid hasa ktk ulimwengu huu wa sasa. Usife moyo ktk safar yako ya kuwafanya wa Tz kuijua elimu hii.
Halaf naona huu uzi ulitakiwa upelekwe kwny jukwaa la technology!
 
Ahsante sana.Katik vitu vinaniumiza kichwa sana kwenye suala hili la uandaaji program basi ni DESIGN phase.yaan ile outlook expression ambayo itakua na look-n-feel kwa user.Am so much intereated in simplicity and functionality..Performance in general. Design as an ART nimenyoosha mikono..Na kaz hii nimeacha mikonon mwa wengine.

Nawaomba wanitengenezee / wa design a single page nzuri ..just one oage then from hapo mimi nita clone na kui manipulate kwa kile nataka kiwe.From that single page then u can generate tens of pages .
 
Kwanza nianze kwa kueleza wazi kwamba mimi ni mdau katika mawanda haya ya Utengenezaji na usambazaji wa mifumo ya Computer na kwamba ninaamini kwamba kama watanzania tunapaswa kuwekeza sana katika kupeana elimu hii adhimu ya utengenezaji wa mifumo ya computer.Hata hivyo andiko langu hili sio andiko la kitaaluma na halilengi kuwa exhaustive bali linalenga kutoa mwanga tu kwa watengenezaji au wale ambao wanalenga kujifunza kutengeneza mifumo ya kompyuta.Lakini pia ninalenga kuleta mchango wangu katika kupatia watu maarifa kwa lugha ya kiswahili.

Utangulizi
Program za computer ziko nyingi.Mfano simu yako inao mfumo wa computer ambao unaiwezesha kufanya yale unayofanya.Unapopakua application kwa ajili ya simu janja yako unakuwa umepakuwa program ya aina fulani.Program za kompyuta huandika kwa kutumia mfumo binary digits yaani mtiririko wa moja na 0.Kwa maana hio basi kadiri programu inapokuwa kubwa na ndivyo idadi ya moja na sifuri inakuwa nyingi.Kwa mfano wengi tunajua kwamba ukihesabau namba 0,1,2,3,4,5,6,7,8,9 10,11..... ukifika 9 namba inayofuta ni marudio ya namba ya kwanza na ya pili kisha inaendelea tena mpaka 20 na kuanza tena kujirudia ambayo hii inaitwa base 10.numeration(Mfumo wa namba wa kikomo cha kumi.)kama tukifanya kikomo cha basi sita itaandika kama 10 saba itakuwa 11 nane itakuwa 12 tisa itakuwa 13 na kuendelea.Sasa katika binary namba kubwa kabisa ni 1 yaani unaanza kuhesa 0,1 kisha namba ya tatu inakuwa ni 10 ya nne inakuwa ni 11 ya tano ni 100 na kuendelea.Zingatia kwamba katika kuhesabu nimewekamo na namba sifuri kama sehemu ya mtiririko.

Huu mfumo wa kuhesabu unaoishia na namba 0,1 na kujirudia ndio unaitwa binary.Sasa katika integrated circuit ya computer hizi moja na sifuri zinawakilia ON na OFF yaani zima na washa.Kwa hivyo basi programu ya computer huwa inaelekeza zima au washa kwenye mfumo wa computer ili kufanya calculation za aina tofauti.Sasa unaponunua computer huwa unakuta na kuna vitu vinaitwa sijua processor speed na storage hizi zinaamua kiasi cha 1,0 ambazo zinaweza kufanywa kwa wakati fulani na kiasi cha state za 1 na 0 zinazoweza kuhifadhi kwa wakti mmoja.Kadiri inavokuwa kubwa basi na uwezo wa computer nao unakuwa mkubwa.

Kama ukiamua kuandika program ya komputer kwa kutumia 0,1 basi unaweza kujikuta humalizi kuandika kwa sababu ni sawa na uambiwe uandike milioni moja kwa kuorodhesha namba zote zinazounda milioni yaani badala ya kuandika 1,000,000 uandike 1,2,3,4,5...... mpaka ufike milioni.Sasa ili kurahisisha ili zoezi la kuandika hizi namba watalamu wa Kompyuta waliamua kuleta lugha ambazo zinaeleweka na binadamu ambazo ndo unasikia zinaitwa programming languages ili zifanye kazi ya kubadili lugha za kibinadamu na kuzifanya ziwe lugha za mashine yaani 0,1 au binary.Baadhi ya lugha hizo ni pamoja na markup languages, kama html na xml ambazo huwezesha muonekano wa aina fulani na programming language ambazo zinatoa maelekezo ya ni i kifanyike wakati gani.Lugha hizi hutumika kwa nyakati tofauti wakati wa uandishi wa program za komputer.Iwapo unataka kujifunza kutengeneza program za komputer unaweza kuanza kwa kujifunza kutumia hizi mark languages kwani ni rahisi kujifunza na rahisi kufanya vitu vidogo kwa ajili tu ya kupata ujasiri.Unaweza kuanza kwa kujifunza kutumia HTML ambayo inahitaji tu uwe na computer yenye Web Browser na text editor.Ninapozungumzia text editor namaanisha aina ya program ambayo ni nyepesi ambayo unaweza kuandika kitu na mara zote ukisave(kuhifadhi kwenye komputer yako neno/jina litaishia na herufi txt.Huwa inaitwa plain text editor.hata hivyo kuna proffessional text editors ambazo unaweza kuzitumia kwa ajili ya programming.Nyingine ni SIMPLE na nyingine zina uwezo mkubwa.Ukitaka kupata moja wapi jaribu tu ktafuta google neno TEXT editors free.Kama ndio unaanza tumia notepad++ ila unaweza jaribu yoyote ile kwani kazi zinafanana na tofauti ni uwezo wake tu.

Baada ya utangulizi huu sasa tuendelee.

HATUA ZA KUFUATA KATIKA KUTENGENEZA PROGRAM.

Hatua ya Kwanza Kuamua mahitaji

Katika hatua hii mtengenezaji anatengeneza mahitaji ya Program yake.Katika eneo hili ni muhimu sana kuwa na kitu kinaitwa Process TREE ambayo itaelezea kila PROCESS inaanzia wapi na inaishiwa wapi na inategemea Process gani nyingine na ni Process gani nyingine zinaitegemea.Hili ni eneo muhimu sana kwani bila kuwa na mahitaji sahihi na mtiririko sahihi hakuna program sahihi.Katika kufanyia kazi hatua hii ni muhimu sana kwa programmer kuamua au kutambau inputs na outputs za kila hatua.Kwa mfano kama unataka kutengeneza mfumo wa mauzo lazima utambue KEY process za mfumo wa mauzo katika ulimwengu wa kawaida ambapo huwa Kuna MANUNUZI YA MZIGO NA MAUZO YA MZIGO KATIKA MANUNUZI KUNA WANAOKUUZIA MZIGO NA KATIKA MAUZO KUNA WANAONUNUA MZIGO.Kama unataka kuunganisha hizi process ni lazima uhakikishe kwamba kila process unaitengeneza katika ukamilifua wake katika real world.

Unaweza kutumia majedwali kuelezea kila process na kuhakikisha kwamba kila eneo linalohusika unaligusa.majedwali yanaweza kuwa na rangi na mishale tofuati kuonesha uelekeo wa kila hatua.

Ukishahamua mahitaji utatambua iwapo unahitaji kuwa na DATABASE na iwe wapi,Utaamua iwapo unahitaji kuwa na USER interphase ziwe wapi na kama utahitaji kuwa na SECURITIES ziwe wapi na kama utakuwa na watumiaji tofauti wawe wanagapi.

Kumbuka hatua hii ikiwa kamilifu unaweza kumpa coder(mwandishi wa code za programu yeyote na akaweza kutengeneza angalau sample ya programu yako)

Katika hatua hii unatakiwa ufahamu kwamba nyaraka hii itakusaidia kuandaa nyaraka za mafunzo,nyaraka za usimamizi wa program na nyaraka za kufanyia promotion ya programu yako kwani hii ni kama Blue Print au ramani ya nyumba.Ikiwa mbaya basi nyumba itakuwa mbaya na ikiwa nzuri nyumba itakuwa nzuri.

Baada ya kuamua mahitajitaji hatua inayofuata ni kuamua jinsi ya kutengeneza programu yako.

Hatua ya Pili Kuandaa mpango wa utengenezaji wa Programu yako;

Katika hatua hii utaamua utumia rasilimali gani katika kutengeneza programu yako.Kwa mfano UTUMIE Programming language gani na kwa nini?Uifanye iwe Cloud based or local Je iwe modular au isiwe modular.Vitu unavoangalia katika hatua hii ni pamoja na uwezo na utaalamu uliopo kwa upande wa watengenezaji,watumiaji wa mwisho na wasimamizi.Kiwango cha utaalamu unaohitajika kitaamuliwa kwa kuangalia kigezo hiki.Hakuna sababu ya kutengeneza program kwa kutumia Complex au programming language zinazoenda kupitwa na wakati ilhali zipo lugha ambazo ni za kisasa.

Kama Programmers wako ni wataalmu wa Java basi hakuna sababu ya kulazimisha kutumia python.Na kama watumiaji wako wa program ni wa kiwango cha kawaida hakuna haja ya kufanya program iwe ngumu kwa mtu kujifunza kutumia.

Baada ya kuandaa mpango wa kutengeneza program na kugawa majukumu kulingana ama na eneo au timu au ujuzi sasa unaweza kwenda katika hatua ya kutengeneza programmu kwa kuzingatia sintaksia ya lugha uliyochagua,environment na muda.

Kuna hatua ya kutengeneza/kuandika code pamoja na kufanya testing and debugging ambazo huwa ni endelevu.

Vile hata kama wakati wa kuweka mahitaji uliweka mengi sio lazima uyatengeneze yote kwa wakati mmoja unaweza kuanza taratibu na kuendelee kufanya maboresha kwa kutoa matoleo mapya kulingana na mahitaji yako.Ndio maana hata android ziko version tofauti hata whatsap huwa unaambiwa uweke new update ni kwa sababu development ni process endelevu.

Cha muhimu ni kuhakikisha kuwa unaweza kutengeneza program mapema iwezekanavyo.Unaweza fanikisha hilo kwa kutumia libraries za aina mbalimbali ambazo zitakurahisishi kufanya baadhi ya vitu vya kawaida kama kuunganisha database,kurudisha taarifa.n.k.

Hii mada ni mada chokozi kwa ajili ya kubadilishana maarifa na yeyote anayependa kujifunza anaweza kuchangia kwa kutoa maoni na ushauri.Kwa wale ambao wako github na wana projects ambazo wangependa wengine wazifahamu wanaweza kuziweka hapa ili kupata collaborators.

Karibuni kwa mjadala
Safi saana
 
Programing language gani tatu ambazo ni muhimu zinafaa na ni rahisi saana kujifunza rahisi
 
Aisee
 
Badiko Zur sana
 
Mkuu mabandiko yako hua yapo vyema kabisa na ingefaa ungekuwa unaweka jukwaa la Tech.
 
m

mkuu,ebu acha tantalila nyingi, ebu onyesha software za maana ulizotengeneza hiyi mambo ya binary kila mtu anajua.
 
Back
Top Bottom