SoC03 Jinsi ya kuepuka kupata watoto wenye ulemavu au kupata watoto haraka kwa mwanamke tasa au mwanaume mgumba

Stories of Change - 2023 Competition

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,362
5,881
It goes down in one word! ZINC...
Kwa utafiti ambao nimeanza kuufanya, matokeo ya awali yanahusisha utasa au ugumba na upungufu mkubwa wa madini ya zinc mwilini.

Pia matokeo ya awali yanahusisha upungufu mkubwa wa madini ya Zinc na uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye ulemavu wa kudumu.

Upungufu mkubwa wa madini ya zinc husadikiwa kufanya RNA replication - upigaji chapa wa taarifa za urithi wa maumbile ya nje (phenotype) na upigaji chapa wa maumbile ya ndani (genotype) to be impaired (kuwa na kasoro) kitu ambacho kinafanya gene pairing (muunganiko wa jini) wakati cromosomes (taarifa za urithi zilizoko kwenye nyukilia ya seli) zilizoko kwenye mbegu za kiume na kike kushindwa kuungana.

RNA ni chembe chembe za urithi zinazobeba tasrifa za kurithiwa ambazo zinapatikana kwenye seli hai za mbegu za kiume na mayai ya kike.
Chembe chembe hizi ndizo huungana na kutengeneza kijusi (zggote) ambacho kikikua hutengeneza kiumbe hai (foetus) katika mji wa mimba wa mwanamke.

Wanandoa ambao wamechelewa kupata watoto wanashauriwa kupima kiwango cha uwepo wa madini ya zinc katika miili yao.
Endapo itaonekana wana upungufu mkubwa wa madini hayo, badi waanze kutumia supplements ili kuongeza kiwango cha madini hayo kwenye miili yao ili kuwawezesha kupata watoto au kuwaepusha kupata watoto wenye ulemavu wa kudumu.
 
Back
Top Bottom