jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inapaswa kukutana na China njiani ili kutafuta jinsi ya kuelewana

    Tarehe 15, Novemba kwa saa za Marekani, dunia nzima inaelekeza macho Philori Manor mjini San Francisco, ambapo Rais Xi Jinping wa China alialikwa na kuwa na mkutano wa saa nne na rais Joe Biden wa Marekani. Huu ni mkutano mwingine wa ana kwa ana kati ya wakuu wa nchi hizo mbili mwaka mmoja baada...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

    Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufika Meatu (Simiyu)

    Wadau, Naomba muongozo, nataka kwenda Meatu Dc, mkoa wa Simiyu kuangalia fursa ya mifugo. Mabasi gani nipande kutokea Dar to Meatu na ni masaa mangapi yanachukua? Pia kijiji gani kuna mnada mkubwa wa mifugo? Asanteni.
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjengea mwanao tabia ya kupenda kusoma vitabu

    Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏 Namna pekee ya kuiepusha akili kuwa "idle" ni kwa kuifanyisha kazi nzuri, na ili akili iweze kufanya kazi nzuri...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ommelete ya mkate tamu na Kwa urahisi

    Mkopoa! Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako Jinsi ya kupika vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu?

    Kwema, Msaada jinsi ya kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu. Yaani nikiwasha data matangazo ya hovyo yanakuja mara 1× bet, yaani ya hovyo hovyo tu. 😫😫😫 Msaada please.
  7. JamiiForums Tanzania Soma hapa ujue jinsi ya kujinasua kwenye mtego wa madeni ulionasa

    Wakuu kwa sasa hali ilivyo ni kuwa watu wengi sana wamenasa kwenye mtego mbaya wa madeni na kujinasua imekuwa mtihani. Iwe mtu alikopa kwa sababu yoyote ile ni kwamba muda wa kudaiwa hakuna anayeonewa huruma. Aliyeomba mkopo wa biashara ikabuma anapata taabu sawa na aliyekopa mkopo akauhonga...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Credibilty ( Uaminifu katika Biashara)

    Credibility ni muhimu sana katika mafanikio binafsi na kibiashara. Ili uweze kufikia mafanikio, katika muktadha huu, unahitaji kujenga uaminifu na heshima katika jamii au sekta fulani. Ili kujenga mtaji huu wa mafanikio na kujiongezea uaminifu, unaweza kuzingatia mambo yafuatayo: Kufuata...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

    Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark. Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo. Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

    Natumain wazima na weekend inaenda vizuri Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki Mahitaji Samaki aliekaangwa Kitunguu maji na kitunguu swaumu nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo ) Pilipili manga kama utapendelea Nazi Kama...
  11. JamiiForums Tanzania Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

    Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa Na kidondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi yaWydad Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu kisiki M.Mvala ili mpate kamserereko kwa Atletico de Luanda Mungu si Selemani,tumekutana Enyi Simba...
  12. JamiiForums Tanzania Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

    Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa Na kudondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi ya Wydad Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu kisiki M.Mvala ili mpate kamserereko kwa Atletico de Luanda Mungu si Selemani, tumekutana. Enyi Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

    Mwaka jana mke wetu Al Ahly alitukwepa kwenye CAF CL Akapata kombe la ndondokela dhidi Wydad Sasa tunakutana kwenye AFL,mjiandae na muupake kabisa mafuta Enyi wana simba njoeni mumuone kaka yake na Yanga anavyompiga nje ndani Al Ahly Tena siyo kwa goli chache,kuanzia tano kwenda juu...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

    Natumaini mkopoa Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi Mahitaji Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na familia Yako Iriki au vanilla Sukari /chumvi ni vile upendavyo Yai moja au mawili Maji ya baridi Hatua...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

    Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
  16. JamiiForums Tanzania Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa. PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi. Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru. Japo unaweza kujipa moyo kwa kuungana au kusoma post zingine za wapiga punyeto, Lakini, ukweli unabaki kwako...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusimamia Shirika ili lijiendeshe kibiashara na kupata faida

    Sehemu ya 1: Kuelewa Msingi wa Uendeshaji wa Biashara 1.1 Ufafanuzi wa Malengo na Mkakati Kuanzia na msingi wa biashara, ni muhimu kuweka malengo wazi na mkakati wa kufikia malengo hayo. Weka malengo ya shirika lako kwa muda mfupi na mrefu, na hakikisha kuwa yanaambatana na maono yako. Panga...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

    Wakuu za asubuhi Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi? Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kununua iphone 15 pro max

    Greetings wana Jamii forum, Your Financial Advisor is here again, Naonda iphone 15 pro max imetoka. mtaani watu hawakai kwa amani mabinti wanasumbua na pia ppo want to get it chap chap, but quick question is Can u afford it. i will make an assumption that it cost 5,000,000 per 1 piece. inawez...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka

    Habari za Wakati huu; Uzi huu ni Maalum kwa ajili ya kujadili Namna ambavyo unaweza kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka kulingana na mahali ulipo,Ujuzi na uzoefu wako pamoja na shughuli zako za kiuchumi.Karibuni tujadili kwa pamoja.Nitaweka kwenye Comments Namna mbalimbali kwa kadiri ya Mahali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…