Jinsi ya kupika ommelete ya mkate tamu na Kwa urahisi

Aaliyyah

JF-Expert Member
Mar 20, 2022
15,805
37,774
Mkopoa!

Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako

Jinsi ya kupika
vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo vichanganyike vizuri

Chukua mkate toa nyama ya kati ukate vizuri pembe nne

Jinsi ya kupika
Bandika pan jikoni weka mafuta kidogo weka kipande Cha pembeni Cha mkate

IMG_20231101_103324.jpg

Weka mayai katikati ya mkate acha kidogo
IMG_20231101_103344.jpg
Kisha geuza ukigeuza usiache sana ikauka sana geuza Tena weka kipande Cha kati Cha mkate ambcho ulitoa awali kirudishe kilipokuwa
IMG_20231101_103924.jpg
Kisha geuza Tena pika Hadi uone mayai na mkate wako umekauka vizuri
IMG_20231101_104357.jpg

Unaweza kunywa na chai au maziwa
 
Mkopoa!
Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako
Jinsi ya kupika
vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo vichanganyike vizuri
Chukua mkate toa nyama ya kati ukate vizuri pembe nne
Jinsi ya kupika
Bandika pan jikoni weka mafuta kidogo weka kipande Cha pembeni Cha mkate View attachment 2806155
Weka mayai katikati ya mkate acha kidogoView attachment 2806161 Kisha geuza ukigeuza usiache sana ikauka sana geuza Tena weka kipande Cha kati Cha mkate ambcho ulitoa awali kirudishe kilipokuwaView attachment 2806159 Kisha geuza Tena pika Hadi uone mayai na mkate wako umekauka vizuri View attachment 2806162
Unaweza kunywa na chai au maziwa
Mambo kama haya mimi ndio hupendelea🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom