Naombeni maelekezo jinsi ya kupata TIN na leseni ili nikasajilie lain za uwakala

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
454
Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ?
Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini

Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.?

Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
 
Tin kuipata bure halafu sikuhizi wajanja wanatumia lipa namba kufanya hizo huduma njoo pm na maji ya kunywa LIPA NAMBA nitakusaidia bure pia
 
TIN NI BURE INATOLEWA TRA.
LESENI NI KWA AFISA BIASHARA WA ENEO
UKIPATA HIVYO NENDA KWENYE OFISI ZA MITANDAO HUSIKA UTAPATIWA LINE.
 
Tin kuipata bure halafu sikuhizi wajanja wanatumia lipa namba kufanya hizo huduma njoo pm na maji ya kunywa LIPA NAMBA nitakusaidia bure pia
sasa Lipa namba mteja akitaka huduma ya kutuma ela, au umetumiwa ela kwa msg utatumiaje Lipa namba.
 
Back
Top Bottom