Nimemchoka mke wangu natafuta jinsi ya kumpiga chini

Bilionaire kekeman

Senior Member
Nov 26, 2022
142
823
Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa

Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole hopefully kuweza kumbadilisha dini yake aisee nilichokuja kukutana nae najuta kabisa na mbaya zaidi nilitoa mahari milioni kadhaa aisee

Binti ana hasira,mbabe na sometime ni mvivu kitu ambacho sikukitegemea, yaani kwasasa nimemchoka natamani nimpige chini ila nashindwa nianzie wapi na wazazi wake niwaambie nini?
 
Pole sana. Kawaida, wanawake wa kizazi hiki wanafanana. Kama Kuna kilichokuvutia Toka mwanzo Hadi ukatoa mahari basi ng'ang'ania hicho.

Mfunze taratibu na umueleze unachokitaka au unachokitegemea katika maisha yenu ya ndoa.

Inachukua muda kufikia hatua ya kubalance Tabia zenu katika ndoa ukizingatia kila mtu alikuwa na maisha yake kabla ya kuoana.

Usichoke mapema. Bora shetani umjuaye kuliko malaika usie mjua.
 
Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa

Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni mkristo( msabato)mie ni ni mlokole hopefully kuweza kumbadilisha dini.yake aisee nilichokuja kukutana nae najuta kabisa na mbaya zaidi nilitoa mahari milioni kadhaa aisee

Binti ana hasira,mbabe na sometime ni mvivu kitu ambacho sikukitegemea, yaani kwasasa nimemchoka natamani nimpige chini ila nashindwa nianzie wapi na wazazi wake niwaambie nini?
Pole sana. Kabla hujamuoa ulivutiwa na tako, sura au umbo?
Mwanamke ni taasisi, ikivutiwa na mwanamke kwa tamaa lazima uandike maumivu
 
Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa

Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole hopefully kuweza kumbadilisha dini yake aisee nilichokuja kukutana nae najuta kabisa na mbaya zaidi nilitoa mahari milioni kadhaa aisee

Binti ana hasira,mbabe na sometime ni mvivu kitu ambacho sikukitegemea, yaani kwasasa nimemchoka natamani nimpige chini ila nashindwa nianzie wapi na wazazi wake niwaambie nini?
Kama siyo mjita ni bahati, maana kanda ya ziwa kwa ubishi wajita wanaongoza yaani ata kuoana wanaoana wao kwa wao.
 
Back
Top Bottom