jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Somo la jinsi ya kutongoza kuingizwa rasmi kwenye mtaala wa elimu nchi jirani

    Habari wanajamvi! Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kung'oa demu wa mkoani kwa haraka : kwa wewe mgeni kutoka mjini daslamu

    Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote." Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇 1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza. 2. Ina...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua habari na taarifa potofu Mtandaoni-Taarifa tam tam au yenye kutia hasira.-Vidokezo kutoka kwa Wataalamu wa Saikolojia

    Je Ushawahi kukutana na Taarifa tamu tamu mtandaoni au taarifa ambazo zilikufanya ujisikie kutamani, hasira, chuki, au hofu? Basi hauko peke yako. According to Scientist, wataalamu wa saikolojia, watu wengi ni wahanga wa wa habari potofu mtandaoni. Hatahivyo, cha muhimu ni kutokupanic au...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia matangazo simu ya android

    Head to Settings > Network and Internet > Advanced > Private DNS. Choose the option Private DNS Provider Hostname. Enter "dns.adguard.com" and Save. That's it! You'll no longer see any in-app ad ads or pop-ups on browsers.
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kustaafu miaka 5 mbele toka leo

    Achana na salamu kwan ni chakula? Sasa wakuu, plan hii inainvolve mtu kustaafu miaka mitano mbele kuanzia siku ya leo, may be inaweza kuwa 6 ila sio mbaya, Plan yenyewe ni hivi, hakikisha unasave 2.2M kila mwezi kwa miaka 5 toka leo katika mfuko wa Bond fund UTT ambao kwa wastani huongezeka...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufaulu kwenye biashara ya matunda!

    Habari wana business! Leo nataka nitoa mwongozo kamili wa kuanzisha biashara ya matunda , ni biashara ambayo inadharaulika lakini ukikaa kitaalamu ni biashara nzuri yenye faida kubwa ingawa wengi hatuna mpango nayo. Kuanzisha biashara ya matunda inaweza kuwa fursa nzuri ya kibiashara kama...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne, Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu. So nimekuja hapa kwa wanajf...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka mke wangu natafuta jinsi ya kumpiga chini

    Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufahamu endapo mpenzi wako Danga

    According to ze Generali him self, ni rahisi kufahamu hili na sio roketi sayansi. Anasema kama upo Dar na mpenzi wako ana mshahara chini ya milioni 6 take home, ana gari na anakula bujiii, basi fahamu kama sio Mwizi basi ni Danga. Well, kuna watakaouliza General Ulimwengu kafanya lini utafiti...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya Kufika Sikonge (Tabora) From Dar

    Wadau naomba ushauri njia rahisi ya kusafiri kwa basi kutoka Dar mpaka Sikonge Tabora na mabasi mazuri/kampuni ya kupanda. Shukrani
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kutega Bahati Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    “Generally, real estate is cyclical. You have to buy in a way that lets you afford the cycles. And you have to know where you are in the cycle.” Charles Brown Kukaa na kusubiri soko ya ardhi na nyumba ziwe vizuri, ni kujipotezea muda wako wa thamani. Wala huwezi kupiga hatua kwa kusubiri...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurudisha account niliyosahau password

    Habari wanajamvi! Poleni na mahangaiko ya kupambana na maisha. Kama title inavyojieleza, naombeni msaada kwa anayeweza kunielekeza namna ya kurudisha account yangu ya Facebook ya biashara ambayo kiukweli nimesahau password yake. Account hii niliifungua mwaka 2012 nikawa naitumia kwa malengo...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza Bidhaa kiwandani

    Naombeni msaada Kwa wenye uzoefu katika jambo hili.Nilikuwa nahitaji kuagiza ngano na mafuta ya kula Moja Kwa Moja kutoka kiwandani.Hivyo naomba kujua utaratibu wake upoje,wanaanzia pcs ngapi minimum,namna ya kuweka order na utofauti wa Bei maybe ukilinganisha na ya wholesalers Huwa inarange...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni maelekezo jinsi ya kupata TIN na leseni ili nikasajilie lain za uwakala

    Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
  15. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inapaswa kukutana na China njiani ili kutafuta jinsi ya kuelewana

    Tarehe 15, Novemba kwa saa za Marekani, dunia nzima inaelekeza macho Philori Manor mjini San Francisco, ambapo Rais Xi Jinping wa China alialikwa na kuwa na mkutano wa saa nne na rais Joe Biden wa Marekani. Huu ni mkutano mwingine wa ana kwa ana kati ya wakuu wa nchi hizo mbili mwaka mmoja baada...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

    Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufika Meatu (Simiyu)

    Wadau, Naomba muongozo, nataka kwenda Meatu Dc, mkoa wa Simiyu kuangalia fursa ya mifugo. Mabasi gani nipande kutokea Dar to Meatu na ni masaa mangapi yanachukua? Pia kijiji gani kuna mnada mkubwa wa mifugo? Asanteni.
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjengea mwanao tabia ya kupenda kusoma vitabu

    Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏 Namna pekee ya kuiepusha akili kuwa "idle" ni kwa kuifanyisha kazi nzuri, na ili akili iweze kufanya kazi nzuri...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ommelete ya mkate tamu na Kwa urahisi

    Mkopoa! Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako Jinsi ya kupika vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu?

    Kwema, Msaada jinsi ya kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu. Yaani nikiwasha data matangazo ya hovyo yanakuja mara 1× bet, yaani ya hovyo hovyo tu. 😫😫😫 Msaada please.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…