Jinsi ya kung'oa demu wa mkoani kwa haraka : kwa wewe mgeni kutoka mjini daslamu

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,119
27,123
Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote."

Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇

1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza.

2. Ina fanya kazi zaidi kwenye majiji makubwa kama vile Dsm, Mwanza, Arusha etc lakini sio kwenye mikoa midogo midogo.

Huku njia hiyo haifai unless otherwise uwe unatafuta malaya au milupo au uwe unakula mabaamedi so that uende ukazungushe bar ili ku mu impress halafu usubirie hadi saa sita bar ikifungwa uondoke nae magetoni.

Mimi NAMZUNGUMZIA msichana ambae ni msichana. Mdada fulani hivi age somewhere 20 to 23 or something , kamaliza shule miaka kadhaa iliyopita yupo anaishi kwa wazazi wake au kwa walezi wake au hata kama kapanga. Anaweza kuwa na mishe zake anafanya au kitu kama hicho. Huyu ndio ninae mzungumzia.

Unafanyaje ili kumpata na umpate kwa haraka?

Zipo njia nyingi za kumtongoza mwanamke ambae si malaya na kumpata kwa haraka zaidi. Nyingi kati ya hizo amezielezea mtaalamu Cassanova.

Mimi zangu ambazo nime zi experience ni pamoja na 👇

Muonekano wa mavazi yako: ( Roga/Loga: kuroga maana yake ni kupendeza sana ) Pendeza sana mkuu. Hakikisha kwenye mavazi yako hasa mashati au T.Shirt vaa nguo ambazo ni special sio mtumba na pia ziwe crazy colours.

Crazy colours zitakufanya uwe so much visible from her point of observation na nguo special zitakufanya u stand out of the crowd mambo ambayo yata add your value to them.

Mavazi mazuri na yenye thamani yatakutengenezea a " celebrity aura" jambo ambalo litakurahisishia sana wakati wa kumtongoza. Kwa sababu she will start treating u as a celebrity of which u will be required to treat her as a fan. At the end of the day unaweza ukajiuliza hivi Mimi ndo namtongoza au yeye ndo ananitongoza..

Ukivaa ukipendeza ukanukia vizuri maneno yako yanaweza kuwa na nguvu kama maneno ya mtu aliye nyoosha bastola kwa muhanga wake. Muhanga hutii kila neno.

Mwaka 2017 niliwahi kung'oa demu kigali ofclurse ilikuwa ni club siku hiyo wanachuo walikuwa na kitu kama bash hivi or something. Demu mmoja wa kinyarwanda ( muhutu) alimuacha jamaa yake akanifuata Mimi. Only kwa sababu nilikuwa nimeroga sana siku hiyo.

Baadhi ya miji hapa Tz ukivaa ukapendeza unakuwa kama mwanaume alie tahiriwa anae ishi katika jamii ya wanaume wasio tahiriwa. Unakuwa unique wanawake wote watataka kuja kwako kwa sababu unakuwa wa tofauti na wanaume wote.

2. Be real. Apart from bling bling please don't fake anything else. Be the real you. Your realness is your uniqueness and it is a part of seduction.

# kusini kuchele
 
Kuna mikoa ni wahuni wamejanjaruka sikuhizi, wakishajua we mgeni kutoka mjini utawekewa mtego wa uongo na kweli (mke wa mtu/mwanafunzi) ulengeshwe uingie kingi wakufumanie wakupige pesa. Kuna uzi humu kuhusu hiyo tahadhari.
hilo jamaa shamba tu, anadhani mikoa yote kama huko kusini, aende kaskazini na hayo maspesho yake aone hata kama kuna mtu atamshobokea, chuga uvae spesho et kudraw attention ya madem? Watakupita kama mzoga vile
 
Mi formula yangu haijabadilika niwe kijijini/mjini/mkoani/jiji.
Nikiielewa mali naiambia nina mbawa hapa kwenye mfuko wa shati.Kula bia mbili za mwisho ,niite bajaji tusepe.Ikiringa nakula bia za ten,then huyo mbioo nyingi sana.
 
Ukipiga crazy color kama hii hachomoki hapa.

1703451004516.png
 
Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote."

Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇

1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza.

2. Ina fanya kazi zaidi kwenye majiji makubwa kama vile Dsm, Mwanza, Arusha etc lakini sio kwenye mikoa midogo midogo.

Huku njia hiyo haifai unless otherwise uwe unatafuta malaya au milupo au uwe unakula mabaamedi so that uende ukazungushe bar ili ku mu impress halafu usubirie hadi saa sita bar ikifungwa uondoke nae magetoni.

Mimi NAMZUNGUMZIA msichana ambae ni msichana. Mdada fulani hivi age somewhere 20 to 23 or something , kamaliza shule miaka kadhaa iliyopita yupo anaishi kwa wazazi wake au kwa walezi wake au hata kama kapanga. Anaweza kuwa na mishe zake anafanya au kitu kama hicho. Huyu ndio ninae mzungumzia.

Unafanyaje ili kumpata na umpate kwa haraka?

Zipo njia nyingi za kumtongoza mwanamke ambae si malaya na kumpata kwa haraka zaidi. Nyingi kati ya hizo amezielezea mtaalamu Cassanova.

Mimi zangu ambazo nime zi experience ni pamoja na 👇

Muonekano wa mavazi yako: ( Roga/Loga: kuroga maana yake ni kupendeza sana ) Pendeza sana mkuu. Hakikisha kwenye mavazi yako hasa mashati au T.Shirt vaa nguo ambazo ni special sio mtumba na pia ziwe crazy colours.

Crazy colours zitakufanya uwe so much visible from her point of observation na nguo special zitakufanya u stand out of the crowd mambo ambayo yata add your value to them.

Mavazi mazuri na yenye thamani yatakutengenezea a " celebrity aura" jambo ambalo litakurahisishia sana wakati wa kumtongoza. Kwa sababu she will start treating u as a celebrity of which u will be required to treat her as a fan. At the end of the day unaweza ukajiuliza hivi Mimi ndo namtongoza au yeye ndo ananitongoza..

Ukivaa ukipendeza ukanukia vizuri maneno yako yanaweza kuwa na nguvu kama maneno ya mtu aliye nyoosha bastola kwa muhanga wake. Muhanga hutii kila neno.

Mwaka 2017 niliwahi kung'oa demu kigali ofclurse ilikuwa ni club siku hiyo wanachuo walikuwa na kitu kama bash hivi or something. Demu mmoja wa kinyarwanda ( muhutu) alimuacha jamaa yake akanifuata Mimi. Only kwa sababu nilikuwa nimeroga sana siku hiyo.

Baadhi ya miji hapa Tz ukivaa ukapendeza unakuwa kama mwanaume alie tahiriwa anae ishi katika jamii ya wanaume wasio tahiriwa. Unakuwa unique wanawake wote watataka kuja kwako kwa sababu unakuwa wa tofauti na wanaume wote.

2. Be real. Apart from bling bling please don't fake anything else. Be the real you. Your realness is your uniqueness and it is a part of seduction.

# kusini kuchele
Huku ulaya nigger ukikaa tu kwenye bench park madem wanene ama vibibi wanakugombania.
 
Back
Top Bottom