jibu

Jibu is a Jukunoid language spoken in the Taraba State of Nigeria by 30,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Je, mikataba ya DP World iliyosainiwa ina kikomo cha miaka 30? Jibu hili hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa kusaini mikataba miatatu ya uendelezaji bandari kati ya TPA na waarabu wa DPW tuliaminishwa na serikali kuwa hii mikataba ni ya miaka 30. Je, mikataba hii kweli ni ya miaka 30 au tumepigwa? Nimejaribu kufanya uchunguzi binafsi ndani ya serikali kwa...
  2. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama wake

    Ukimya sio Jibu, Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama. Ni miaka zaidi 20 Serikali na wanachama hawajatulia na CWT wanatoa majibu mepesi. Nakumbuka CWT ilijinasibu kuwatekelezea walimu mahitaji yao ikaahidi mambo mengi sana kama benk yao, majimbo yao, nk. Katika vikao...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Japhet Maganga wa CWT hafukuziki? Jibu hili hapa

    Nimeshangaa jinsi suala la Katibu Mkuu wa CWT mwalimu Japhet Maganga linavyofanyiwa siasa badala ya kuchukuliwa kama suala la kiutumishi. Kwanza sio jambo la kawaida mtumishi wa umma kufukuzwa kazi kwa mujibu sheria na jambo hilo kugeuzwa kuwa suala la umma. Mwalimu Maganga kateuliwa kuwa DC...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume njoon mnipe jibu

    Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo??? Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu?? Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na...
  5. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mkristo mwenye jibu... Kama ndoa inasaidia kukwepa zinaa ni vipi mtu akinyimwa tendo mwaka mzima haruhusiwi kuongeza mke wala kuvunja ndoa?

    Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa) Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima. Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke. Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mungu hatutolala hatutochoka kukuita mpaka utakapo jibu

    Mungu uliopo juu Mungu muumba wa vyote vinaonekana mpaka visivyo onekana. Wewe ni Mungu tusema Asante kwa kila Zawadi umetupa Taifa zuri Tanzania. Mungu wa Tanzania ni wanyonge na wachache umewapa kutuongoza wamekuwa na tamaa na kiu yakulitafuna hili Taifa kwa uchu wa mchwa walio na njaa Kali...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa boss wako akikutaka kimapenzi, je utakuwa Mwaminifu? Jibu lako ndio Siri ya Anguko au Mafanikio yako

    MKE WA BOSS WAKO AKIKUTAKA KIMAPENZI, JE UTAKUWA MWAMINIFU? JIBU LAKO NDIO SIRI YA ANGUKO AU MAFANIKIO YAKO Anaandika, Robert Heriel Yule Kuhani katika Hekalu Jeusi Mke wa Boss wako ameumbika, shape imesimama kama namba ya Lampard mchezaji wa zamani wa Chelsea. Akitembea anatikisika na...
  8. Rayns

    JamiiForums Tanzania Kama jibu lake ni ndiyo, swali lako litakuwa lipi?

    4
  9. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiislam hii inawahusuu

    Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa??? FaizaFoxy
  10. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Kila unapoifikiria ndoa ya Ajibu na Coastal Union haupati jibu

    RAFIKI yangu Ibrahim Ajibu Migomba amekwenda katika timu yake ya tano Ligi Kuu Bara. Timu yake ya pili nje ya Jiji la Dar es salaam. Haikutazamiwa kuwa mapema hivi lakini ndio hali halisi. Ndani ya misimu mitano amecheza timu takribani tano. Sasa Ajibu ametua Coastal Union. Ni ndoa ambayo...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaoshanga na Kujiuliza kwanini tarehe 31 July imepita. na Simba SC bado Inasajili tu Jibu lenu hili hapa

    "CAF imeweka utaratibu mpya wa Timu ambazo hazianzii hatua ya Awali Kombe la Klabu Bingwa na zipo katika zile Timu Nane zitakazoshiriki Michuano mipya ya Afrika Super Cup zenyewe zitaendelea Kusajili hasi tarehe 30 Mwezi huu wa August, 2023" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally muda mfupi...
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo jibu hoja za mkataba acha kuzungumzia vyombo vya Ulinzi

    Prof. Kitila mkumbo ameshindwa kujibu hoja kuhusu mkabata anaanza kuviingiza vyombo vya ulinzi kwenye mambo ambavyo havihusiki navyo, kwani wakati mnaingia huo mkataba mlilijulisha Jeshi? kwanini leo mambo yameharibika ndiyo mnataka kulitaja Jeshi. Ombi langu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mtu anapokuwekea bastola jibu ni moja Mwambie ashushe au apige risasi.

    Jana usiku ,Kuna Jamaa yangu kawekewa bastola kichwani kamwambia yule muhuni maamuzi ni mawili kupiga risasi au kushusha bastola chini Guyz don't afraid anything
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke analeta wivu, ikiwa alikataa aliotongozwa?

    Kwanini unakuta unamtongoza mdada na unampenda kweli, ila anakukatalia ila muda umeanzisha mahusiano mengine analeta hisia za wivu au kutaka kukuharibia wakati yeye alikuwa kataa
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

    Hatimaye najibu Mpemba's Law 🤭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda...
  16. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Swali linalohitaji jibu lako

    Una tafsiri vipi mtazamo wa watu juu yako. 1. Hawapo sahihi unajijua wewe mwenyewe. 2. Wapo sahihi watu wanaona vitu ambavyo wewe mwenyewe hauwezi kuviona kwako.
  17. Deadbody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jibu gani baya uliwahi pewa wakati unatongoza hutakaa usahau?

    Me nakumbuka mwaka 2008 niliambiwa kuliko kukupa wewe mbunye yangu bora nikampe mbwa. Nilikaa kimya kwa muda , nikawa Na sura ya upole mno.Sikumjibu kitu ila nikageuka kwa unyonge nikaondoka taratibu huku nikionyesha kuwa Na mawazo. Akanionea huruma akaniambia simama G ........... Nisubiri...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu jibu hoja za wabunge, PhD yako isiwe kinga ya kukwepa hoja!

    Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake. Mwigulu ajibu hoja za wabunge na siyo kuwadhalilisha eti kwa kuwa ana PhD. Hapo bungeni wapo walioishia darasa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

    We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
  20. 010101

    JamiiForums Tanzania Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

    Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. " Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud " Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran. Katika Biblia...
Back
Top Bottom