jibu

Jibu is a Jukunoid language spoken in the Taraba State of Nigeria by 30,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Jibu la Aga Khan kipindi cha Rais Kikwete. Elimu kubwa ambayo ni fumbo sana

    Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi. Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za China kuwa na soko kubwa barani Afrika ni jibu zuri dhidi ya madai kwamba eti "Uzalishaji kupita kiasi"

    Kujibu kile kinachojulikana kama "uzalishaji kupita kiasi wa China" ambacho kimechochewa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi, Bw. Ayodeji Dawodu, ambaye anafanya kazi na kushughulikia mambo ya Afrika katika benki ya uwekezaji ya BancTrust yenye makao yake makuu mjini London alisema...
  4. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania CHEMSHA BONGO: Watakaopata wana IQ zaidi ya 100, Kwa kutumia Hints Jibu swali kwa mtiriko husika

    Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi.. Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nimepata ufumbuzi wa namna Mungu anavyojibu maombi yetu

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye. Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nimependa hili jibu murua la Fiston Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere!!

    Unampa asilimia ngapi Mayele kwa hili jibu murua na la kutukuka kutoka kwa mwamba Fiston Kalala Mayele kwa huyu shabiki mwenye kiherehere?
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel imeshakubali kusitishwa vita, kinachosubiriwa ni jibu la Hamas

    Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake. Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Jibu la Zamaradi baada ya kuambiwa ana roho mbaya

    Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya. Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "Mmanyema mmoja hivi!!" Moja ya shabiki wake akajitokeza na ku-reply kwenye...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyotapeliwa mwaka 2005 na matapeli wanaokutemesha nywele mdomoni au kukutoa moshi kitovuni, siwezi kuja kusahau!!

    Enzi hizo tulilizwa wengi kwa hii staili sababu hata mtu akipigwa inakuwa siri hakuna mitandao ya kuelimishana. Mwaka 2005 nipo nakaribia kuvuka barabara ghafla mzee mwenye koti lake anaulizia hospitali nikamwelekeza ilipo maana haipo mbali ila yeye akasema ni mgeni, akaja mtu mwengine nae...
  10. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

    Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mahojiano hayo Lema amesema haogopi kukopa, hata kama wabunge wa-CCM wangekuwa...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Hili ndio jibu la Aunt Ezekiel kuhusu yeye kuolewa na Kusah

    Aunt Ezekiel amejibu swali la ni lini ataolewa na Baba mtoto wake ambae pia ni msanii wa Bongo Fleva "Kusah". ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from RickMedia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Azam TV kwenye tangazo lake la afcon linasema ' kuoneshwa Tanzania pekee'?

    Naomba niingie kwenye swali moja kwa moja.. Hivi kwanini Azam TV kwenye tangazo lake la afcon linasema ' KUONESHWA TANZANIA PEKEE' hii mimi sijaielewa ina maana gani? Naomba kusaidiwa.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma. Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kukaa Kimya ni jibu pia (Haters)

    Habari zenu, Nipo hapa JF kuinteract na watu naheshimu kila mtu, Kama wewe unanichukulia tofauti nakupa pole sana. Kuishi na watu wenye tabia tofauti ni kazi, nimejifunza jana na ninajaribu kwa mara nyengine tena. Jana kuna watu walinitamkia maneno na kuonyesha wamefurahi mimi kusepa, siwezi...
  16. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nitawapa jibu la kwa nini wanawake wanaojiuza ni wazuri au wanavutia sana na walioolewa ni wanawake wa kawaida tu

    Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe. Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Hakuna taifa lenye jibu la Gaza iweje baada ya HAMAS, hivyo Israel itapiga kisha ikalie kama koloni

    Hakuna taifa la Waarabu lenye utayari wa kuwajibika kwenye kuijenga Gaza na kuilinda baada ya Israel kuisambaratisha, wote wamegoma. Hivyo Israel itabidi ipakalie kimabavu baada ya kusafisha. ========== The Palestinian question is extremely delicate for leaders in the Arab world, where the...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

    Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu. Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza...
  19. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    God is Good ndio salamu yako maarufu unayoitumia wakati wa kufungua vikao vya shule utafikiri ulizaliwa altareni!Dalili zako za kufeli zilianza mapema sana na bado unaendelea tu kufeli japo uongozi wa juu pengine unakuonea huruma. 1. Baada ya taarifa za awali kuonyesha mwalimu wa kiume...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Jibu kwa Tundu Lissu: Njia nzuri ya kuzuia uchaguzi ni kuruhusu uchaguzi ufanyike

    Kuna mada iliyowasilishwa humu JF ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kaeleza kwamba endapo Katiba Mpya haitapatikana kabla ya chaguzi zinazofuata 2024/2025, juhudi za kuzuia uchaguzi huo usiwepo zitatumika kuuzuia. Kauli hii imesikika kwa muda kitambo sasa, tokea ndani ya chama hicho...
Back
Top Bottom