jibu

Jibu is a Jukunoid language spoken in the Taraba State of Nigeria by 30,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna namna yeyote ile 7 - 1 jibu likawa 5? Tusaidiane mawazo

    Je, kuna any possible scenario ambapo 7 - 1 outcome ikawa ni 5? Kweli hakuna kabisa uwezekano?
  2. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa wewe ndio mpotoshaji mkubwa, Katiba ndio muongozo na jibu la kila kitu. Hii tuliyonayo sasa ina mapungufu makubwa

    Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state. Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero zilizokuwepo wakati huo. Ndio maana kumekuwepo na mabadiliko ya katiba hapa nchini kwetu zaidi ya mara...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili afungua Kanisa

    Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH. Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na...
  4. mama D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

    Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA...... Mwaka anayaweza kwelikweli
  5. Stevenbee

    JamiiForums Tanzania Naweza kufanya graphics kwa kutumia mobile apps, je naweza kupata kazi?

    Huwa nafanya Graphics lakini natumia simu na nishafanya na watu baadhi hususani wanaotengeneza products kama mafuta,unga lishe, album cover na vingine. Lakini kitu ambacho huwa nashindwa niombe Ajira vipi? Kwasababu 1) Sijasomea hii issue 2) Natumia mobile apps kufanya Hizo graphics Kama...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

    Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
  7. Pinkman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

    Wakuu kwema? Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini. Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni. Hawa watu wa namna hii ni majibu gani...
  8. Shobi

    JamiiForums Tanzania Nimefikiria ila nimekosa jibu!

    kuna haja mashirika wanaita ya kimataifa na mishahara yao ipo na jina mfano grade P3 unapata ni hela ndefu kwani pia wanalipwa kwa dola..sasa kuna wale wamekuja kutoka nchi fulani let say west african or other countries lakini anamaisha ya kawaida sana yaani hajaendani na mshahara anaolipwa...
  9. chase amante

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

    Habarini ndugu, Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei. Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa kawaida kuzimudu inakua shida. Vifaa vya ujenzi ambavyo vingi tunatengeneza hapa hapa nchini navyo...
  10. Mhere Mwita

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama unajiuliza kwanini leo Tetesi za Mchezaji Clatous Chama kutua Yanga SC zimekuzwa jibu rahisi na jepesi tu ni hili hapa

    Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika kuwe na Taarifa ya Kushtua na kufanya Counter ili kuweka Mizania na kuhamisha Fikra za Watu na Stori...
  12. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

    Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao. Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, nadhani umeshapata jibu kuwa Jeshi la Polisi siyo "dumping site" ya" failures"

    Nina uhakika unafuatilia kwa makini nini kinaendelea katia kesi ya Mbowe et al na mashaidi wa Jamhuri kutoka jeshi la polisi. I need not say more kuwa si sahihi kusema polisi hamhitaji div 1 nd 2! For that matter, what is learned from Police witnesses, si sahihi contention yako kuwa Jeshini...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama mnajiuliza ni kwanini kila Mkoa wakienda kucheza Mechi ya Ligi Kuu wanajifanya kutoa Misaada kwa Yatima, Wajane na Wasiojiweza jibu ni hili

    Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye pia alimsaidia Kushinda Kesi mbaya ya Bandarini aliyekuwa Boss wa huko mwenye Jina la Ukoo lifananalo...
  15. presider

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

    Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices. Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
  16. presider

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

    Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices. Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
  17. dump

    JamiiForums Tanzania Je? Mnafanyaje usafi kwa bibi na hayo makucha marefu vile?

    Naomba wanawake mnijibu swali langu, hasa kwa wale mnao weka kucha za bandia halafu ndefu kupitiliza je? Mnafanyaje usafi kwa bibi na hayo makucha marefu vile?
  18. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Je, tunakosea wapi?

    Hivi ndugu zangu, wapi tumekosea? Kwanini wao tu ndo wanaona kuwa wanaweza wengine hawawezi. Au wao wamesoma Sana kiasi Kama kwamba wengine NI maamuma Tu? Nijuavyo Mie hata mjinga ana nafasi na mchango mkubwa kwenye maendeleo. Nasikitika Sana kuwaona polisi wameacha kazi zao za msingi na...
  19. Medecin

    JamiiForums Tanzania Je, Biblia inasema nini kuhusu kupandishwa tozo za miamala?

    Soma Isaya 10:1-4
  20. Castr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jibu langu kwa Liverpool VPN na wenye shaka sa ndoa

    Liverpool VPN ameanzisha uzi huu Sasa mnaoa ili iwaje? Hebu angalia hii familia kimsingi ameonyesha kwamba kwa kuwatazama wenza aliowaelezea hakuna haja ya ndoa. Anashare msimamo na watu wanaojitambulisha kama MGTOW (Men Going Their Own Way) kabla sijafika mbali nauliza hili swali "Mapenzi ni...
Back
Top Bottom