Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu.

Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza, tazama.

Mama yao anaifungua nchi kila kitu kitakuwa wazi hata mbingu itashusha malaika wake wote.

Tusome na kupata maarifa na kuijua Dunia kwa ukubwa wake na maajabu yake.

Hivyo tu

Wadiz
 
Ni mwanamke aliye jiharibu na mazoezi mazito kiasi Cha kupoteza wajihi wa kike.

Mfatilie utagundua hakuwa hivi, nadhani michezo ya kutunisha misuri ndio imemuharibu.
 
Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu.

Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza, tazama.

Mama yao anaifungua nchi kila kitu kitakuwa wazi hata mbingu itashusha malaika wake wote.

Tusome na kupata maarifa na kuijua Dunia kwa ukubwa wake na maajabu yake.

Hivyo tu

Wadiz
Ukiachana na kudai ulivyoenda Asia. Mada yako haina maelezo yoyote na haijulikani ujumbe wako ni kutaka watu wasome kuhusu ladyboy au unaelezea kuhusu ladyboy. Heading na content haviendani
 
Naona kaangalia video aliyo post bongozozo then kaja kufungua jalada huku ndio maana mada yake haina shibe
 
Kusoma tena ya Nini na wewe umeshuhudiia si utusimulie tu mkuu
The term "ladyboy" is commonly used in Thailand to refer to a transgender woman or an effeminate gay male. In Thai culture, the term "kathoey" is often used to describe individuals who were assigned male at birth but identify and live as women. It's important to note that the term "ladyboy" can be considered derogatory by some individuals, so it's always best to use respectful language when referring to transgender or gender non-conforming individuals.
 
Ukiachana na kudai ulivyoenda Asia. Mada yako haina maelezo yoyote na haijulikani ujumbe wako ni kutaka watu wasome kuhusu ladyboy au unaelezea kuhusu ladyboy. Heading na content haviendani
hio fikirishi ndio muhimu watu wasome uwepo wa ladyboys watambue huyo Loveness ni aina yake,
 
Back
Top Bottom