Wanaume njoon mnipe jibu

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??

Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
 
Kuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kuna jirani yangu A alikuwa anagonga beki 3 wangu. Mke alivyogundua mchezo akaumia sana, akaniambia kwa nini rafiki yako hajataka hata kutafuta wanawake huko mbali mpaka kunidhalilisha hivi. Yule dada akaamua kulipa kisasi. Akafanywa na jirani yangu B. Ule mtaa ulitutia aibu sana ikaonekana wanaume wote ni mbwa
 
Wewe Una uhakika hao wanawake hawajilengesha wenyewe?

Why usilaumu hao ndugu zako Kwa kutokuheshimu wewe dada yao??
 
Kuna baadhi ya "mabesti" kama wanaovyoitana Wanawake kuna wakati huwa wana hadithiana vitu vya chumbani. Utasikia hapa sina hata nguvu, Shemeji yenu jana amenipa show hadi leo nimeamka na homa........n.k

Kawaida wengine hupenda kuonja hivyo anavyopewa "besti" ake....

Mwisho wa siku Kipa anatoka golini.....

Na huu mtindo wa kuitana Shemela ndiyo sitaki hata kuusikia, wanaanzaga hivi hivi mwishowe tunda linaliwa.
 
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??

Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Wewe umeolewa na shetani
 
Ni asili. Mwanaume ndo alivyo, ila inaweza kuwa tamed or controlled. Inategemea pia na mvuto ambao anaona kwa majirani ila yote kwa yote inategemea na mwanaume mwenyewe na nidhamu yake.

Mwanaume mwenye nidhamu na mpangilio wa jambo hawezi fanya hivyo , anayejishughulisha sana na mambo ya rohoni ikiwemo meditation au maombi ni nadra sana kutamani kila mwanamke anayemuona. Discipline ndo jambo pekee linalomtenganisha mwanaume mmoja na mwingine.
 
Kuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kuna jirani yangu A alikuwa anagonga beki 3 wangu. Mke alivyogundua mchezo akaumia sana, akaniambia kwa nini rafiki yako hajataka hata kutafuta wanawake huko mbali mpaka kunidhalilisha hivi. Yule dada akaamua kulipa kisasi. Akafanywa na jirani yangu B. Ule mtaa ulitutia aibu sana ikaonekana wanaume wote ni mbwa
Kama ni mimi naoa beki3 naye alipize.
 
We unafikiri ni kazi rahisi kumsimamisha mtu usiemjua njian na kuanza kumtongoza? Si bora hao marafiki zako wamenizoea kidogo angalau inakua rahisi wakati anajichekesha chekesha na mimi naweka mstari mmoja mmoja.
 
Kuna baadhi ya "mabesti" kama wanaovyoitana Wanawake kuna wakati huwa wana hadithiana vitu vya chumbani. Utasikia hapa sina hata nguvu, Shemeji yenu jana amenipa show hadi leo nimeamka na homa........n.k

Kawaida wengine hupenda kuonja hivyo anavyopewa "besti" ake....

Mwisho wa siku Kipa anatoka golini.....

Na kupitia huu mtindo wa kuitana Shemela ndiyo sitaki hata kuusikia, wanaanzaga hivi hivi mwishowe tunda linaliwa.
Ni kweli kabisa kiuhalisia hamna watu rahisi kuruka nao kama mashemeji, besties wa mwanamke na hii wanawake huwa wanajiponza wenyewe kwa kupenda sifa za kijinga, sasa wewe unamuhadithia rafiki yako utamu unaopewa na mumeo unategemea nini?
 
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??

Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Kuchepuka inategemea kakupataje kama kakupata kirahisi anaamini na rafiki zako wana tabia kama zako hivyo lazima akawanyandue
 
Kuna baadhi ya "mabesti" kama wanaovyoitana Wanawake kuna wakati huwa wana hadithiana vitu vya chumbani. Utasikia hapa sina hata nguvu, Shemeji yenu jana amenipa show hadi leo nimeamka na homa........n.k

Kawaida wengine hupenda kuonja hivyo anavyopewa "besti" ake....

Mwisho wa siku Kipa anatoka golini.....

Na kupitia huu mtindo wa kuitana Shemela ndiyo sitaki hata kuusikia, wanaanzaga hivi hivi mwishowe tunda linaliwa.
Tulia shemela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom