Hakuna taifa lenye jibu la Gaza iweje baada ya HAMAS, hivyo Israel itapiga kisha ikalie kama koloni

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,674
48,448
Hakuna taifa la Waarabu lenye utayari wa kuwajibika kwenye kuijenga Gaza na kuilinda baada ya Israel kuisambaratisha, wote wamegoma.

Hivyo Israel itabidi ipakalie kimabavu baada ya kusafisha.

==========

The Palestinian question is extremely delicate for leaders in the Arab world, where the war has sparked massive protests in several countries.

At the annual Doha Forum that ended Monday, Qatar reiterated that no Arab country would send in forces to stabilise the situation after the guns of Israel and Hamas fall silent.

"No one from the region will accept... to put boots on the ground (following after) an Israeli tank. This is unacceptable," said Qatar's Prime Minister Sheikh Mohammed bin Abdulrahman Al Thani.

france24.com
 
Mr uharo😂😂😂

Bado unawalisha uharo mabwege wenzako, tayari mfuko wa kuijenga Gaza umeishaanzishwa Qatar kila nchi inataka kutoa kitu kwa Gaza Israel hilo linamuuma hajui la kufanya jana wamezozana na Biden.

Gazi itakuwa zaidi ya zamani ilivyokuwa na watapata taifa lao.

Edelea kuwalisha uharo mapunguani wenzako.
 
Mr uharo

Kwan nan anaitaka Gaza , je malengo ya IDD huyajui ? Halaf watu weusi mnatia aibu , mnajikuta una uchungu na wagaza kuliko wana mocimba wa msumbiji , ebu jisikien aibu bas , hata mungu alisema huez nipenda mm kama humpend jiran yako
 
Mr uharo😂😂😂

Bado unawalisha uharo mabwege wenzako, tayari mfuko wa kuijenga Gaza umeishaanzishwa Qatar kila nchi inataka kutoa kitu kwa Gaza Israel hilo linamuuma hajui la kufanya jana wamezozana na Biden.

Gazi itakuwa zaidi ya zamani ilivyokuwa na watapata taifa lao.

Edelea kuwalisha uharo mapunguani wenzako.
Muwekee source ajionee mwenyewe
 
Usafi Muhimu Gaza Mpka January hakuna Takataka imebaki
Qatar hivi hivi na vita vinaendelea anapeleka pesa ya Gesi Gaza😂
Since the October 7 Hamas attack on Israel, the Gulf state of Qatar has come under fire by Israeli officials, American politicians, and media outlets for sending hundreds of millions of dollars in aid to Gaza, which is governed by the Palestinian militant group.
But all that happened with Israel’s blessing.

In a series of interviews with key Israeli players conducted in collaboration with Israeli investigative journalism organization Shomrim, CNN was told Prime Minister Benjamin Netanyahu continued the cash flow to Hamas, despite concerns raised from within his government.
 
Hakuna taifa la Waarabu lenye utayari wa kuwajibika kwenye kuijenga Gaza na kuilinda baada ya Israel kuisambaratisha, wote wamegoma.

Hivyo Israel itabidi ipakalie kimabavu baada ya kusafisha.

==========

The Palestinian question is extremely delicate for leaders in the Arab world, where the war has sparked massive protests in several countries.

At the annual Doha Forum that ended Monday, Qatar reiterated that no Arab country would send in forces to stabilise the situation after the guns of Israel and Hamas fall silent.

"No one from the region will accept... to put boots on the ground (following after) an Israeli tank. This is unacceptable," said Qatar's Prime Minister Sheikh Mohammed bin Abdulrahman Al Thani.

france24.com
Kwani sasa hivi wanaikalia Palestina nzima kama nini?

Siyo jipya hilo, katafute jipya.
 
Muwekee source ajionee mwenyewe
Nakuwekea wewe na kwa faida ya JF huyu jamaa uwa anawalisha sana uharo na watu wanameza yaani chuki zake kwa Palestina anadhani kila mtu yupo kama yeye bofya link👇🏽 hiii ni mwaka jana na sasa hivi nchi nyingi zinataka kujenga Gaza.

Mr uharo😂😂😂

Bado unawalisha uharo mabwege wenzako, tayari mfuko wa kuijenga Gaza umeishaanzishwa Qatar kila nchi inataka kutoa kitu kwa Gaza Israel hilo linamuuma hajui la kufanya jana wamezozana na Biden.

Gazi itakuwa zaidi ya zamani ilivyokuwa na watapata taifa lao.

Edelea kuwalisha uharo mapunguani wenzako.
Wewe ni mgonjwa wa akili!!!! Waijenge ili aishi nani!? Magaidi ndo hao wameteketea!!!

Oktoba 07 mlichokoza mzinga wa nyuki ili mfe na kubomolewa majengo na miundombinu mingine? Kwamba mlipanga mfe ili wengine waje kuujenga tena huo Mji? Akili zenu zimejihifadhi kwenye hizo Pedo na Kobaz
 
Nakuwekea wewe na kwa faida ya JF huyu jamaa uwa anawalisha sana uharo na watu wanameza yaani chuki zake kwa Palestina anadhani kila mtu yupo kama yeye bofya link👇🏽

Nina hakika na Sina mashaka kwamba mnajutia mlichokofanya 07 Oktoba!! Hata Magaidi yaliyotangulizwa motoni yanajuta kweli kweli huko yaliko.

Poleni sana.
 
Hakuna taifa la Waarabu lenye utayari wa kuwajibika kwenye kuijenga Gaza na kuilinda baada ya Israel kuisambaratisha, wote wamegoma.

Hivyo Israel itabidi ipakalie kimabavu baada ya kusafisha.

==========

The Palestinian question is extremely delicate for leaders in the Arab world, where the war has sparked massive protests in several countries.

At the annual Doha Forum that ended Monday, Qatar reiterated that no Arab country would send in forces to stabilise the situation after the guns of Israel and Hamas fall silent.

"No one from the region will accept... to put boots on the ground (following after) an Israeli tank. This is unacceptable," said Qatar's Prime Minister Sheikh Mohammed bin Abdulrahman Al Thani.

france24.com
mapcard-palestina-1946-today.jpg

Kwani haya maeneo Israel aliyatoa wapi mpaka ilo la Gaza kwako ulione jipya?

Hujui kama Israel ilishakuwa na mpango wa kuwatoa Wapalestina wote Gaza na kuishawishi Misri ikubali kuwapokea wakakae Penusula ya Sinai? Ili yeye aikalie Gaza na kujenga makazi ya Raia wake?
Screenshot_2023-11-01-20-59-06-31_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Nina hakika na Sina mashaka kwamba mnajutia mlichokofanya 07 Oktoba!! Hata Magaidi yaliyotangulizwa motoni yanajuta kweli kweli huko yaliko.

Poleni sana.
Mgogoro umeanza tokea 1890 hiyo oktoba 7 sio ya kwanza na haitokua ya mwisho. Na hakuna majuto kupigania uhuru ni sawa na kusema Mkwawa anajuta kupinga wakoloni? Why ujute wakati unapigania ardhi ya babu zako?
 
Wewe ni mgonjwa wa akili!!!! Waijenge ili aishi nani!? Magaidi ndo hao wameteketea!!!

Oktoba 07 mlichokoza mzinga wa nyuki ili mfe na kubomolewa majengo na miundombinu mingine? Kwamba mlipanga mfe ili wengine waje kuujenga tena huo Mji? Akili zenu zimejihifadhi kwenye hizo Pedo na Kobaz
Hujui lolote unaandika uharo tu mtu unajiita mkojo 😂
 
Mr uharo😂😂😂

Bado unawalisha uharo mabwege wenzako, tayari mfuko wa kuijenga Gaza umeishaanzishwa Qatar kila nchi inataka kutoa kitu kwa Gaza Israel hilo linamuuma hajui la kufanya jana wamezozana na Biden.

Gazi itakuwa zaidi ya zamani ilivyokuwa na watapata taifa lao.

Edelea kuwalisha uharo mapunguani wenzako.
ila magaidi huwa mnapenda sana kujifariji. Netanyahu ameshatangaza kwamba hawezi kufanya makosa ya Oslo tena, yaani Hawezi kukabidhi Gaza kwa wapalestina tena, manake ameona akiwakabidhi tu wanachimba mashimo na kuigeuza kuwa threat kwao. amesema wanataka wakae kwa amani kwa kuikalia Gaza milele. soon wayahudu wataanza kujenga majengo yao ya kudumu pale, na wale wapalestina wataishi kwenye makambi ya ukimbizi au warudi kwao nchi za kiarabu.
 
Neno gaidi wala siyo jipya unaweza kuwaita upendavyo Israel walishawahi kuichukia Gaza huenda hufahamu kwa nini waliondoka na sasa wataondoka wenyewe suala muda tu.

View: https://x.com/aryjeay/status/1734819789028171885?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Watu tunafungua JF tupate madini tunakutana na comments za kipuuzi kama hizi,... mwenzako kaandika kitu, ikiwa hukubaliani nacho lete point zaidi sio mihemko tu. Matusi ya nini sasa hapo!
Sikiliza wewe siyo lazima usome post zangu ukiziona potezea mimi nishambuliwa natukanwa unataka nikae kimya ungeanza na matusi aliyenitukana au kwako ndiyo madini sababu katukanwa Ritz.
 
Kwani sasa hivi wanaikalia Palestina nzima kama nini?

Siyo jipya hilo, katafute jipya.

Walikua wameachiwa wapumue kwenye baadhi ya maeneo, ila sasa Gaza imefanywa shamba na watakua wanaishi kwa ridhaa ya Israel kwenye kila kitu, hata kugegedwa na mumeo itakua lazima uombe ruhusa kwanza, inabidi waratibiwe wasizaliane hovyo maana kila kinachozaliwa pale ni gaidi.
 
Back
Top Bottom