jeshi

  1. Brain Kingdom

    Nchi ambazo zina demokrasia hafifu na jeshi ambalo halina nguvu ya kuifanya ikulu kwa nchi husika zisifanye utumbo ni hatari kwa ustawi wa nchi husika

    Wasalaam nyote, Inapotokea nchi baadhi zina demokrasia hafifu na jeshi lisilo na meno wala utisho, wala hakuna supreme organ ya kuinyosha ikulu basi wanasiasa hata wapesi kama manyoya wanajifanyia watakavyo, ni hatari sana kwa ustawi wa mataifa husika. Triple S, yaani strategic state security...
  2. L

    Serikali iunganishe taasisi zote nne zinazounda jeshi la uhifadhi

    Nawasalimia ndugu na jamaa zangu, Ama baada ya salamu, naomba kuelekekeza mawazo yetu kwenye mada hii. Wizara ya Maliasili na Utalii, Pamoja na majukumu yake mapana, ina Taasisi na mashirika ya umma yaliyo chini yake. Miongoni mwa Taasisi na mashirika hayo ni: 1. Hifadhi za Taifa (TANAPA) 2...
  3. figganigga

    Kagera Mtukula: Wanafunzi wanatumia kifaru cha jeshi kwenye michezo Shuleni

    Niko Missenyi/Mutukula Nchini Tanzania. Nimekuta moja ya vifaru vilivyotumika kumkimbiza Idi Amini Dada kikiwa kwenye eneo la Shule ya Msingi Mutukula. Sasa kimebaki kuwa chombo cha wanafunzi kucheza michezo kadhaa. Je, kwanini JWTZ wasikiweke kifaru kicho kwenye makumbusho? Hii ni An...
  4. benzemah

    Jeshi La Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lakanusha Wanajeshi wa Ngazi ya Juu Kuongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kuwa kuna habari ya uzushi iliyosambazwa na mtandao wa kiiamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara. Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023...
  5. EINSTEIN112

    TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  6. GENTAMYCINE

    Ni vyema Vilabu vitakavyocheza na Timu ya Jeshi ya Mashujaa FC wakaielewa vyema hi Kauli Mbiu yao tukuka

    Kauli Mbiu ya Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma ( kwa Watani zangu Washamba ) inayomilikiwa na JWTZ na inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania inasema MAPIGO NA MWENDO hivyo mtakavaana nao Kikitokea cha Kuwatokea tusije Kulaumiana. Na kuna Wachezaji kama Watatu humo ni wale Wazee wa Morogoro sasa...
  7. S

    Yanayofanywa na Viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, ni mfano kwa askari walio chini yao hivyo tujiandae

    Habari ndio hio ndugu zangu na uzuri karibu kila mtu anajua nini kinachoendelea kwa sasa. Hivyo, wewe mwananchi wa kawaida huku mitaani, utarajie mambo kama hayo unayoyasikia kutoka kwa askari tunaoishi nao huku mitaani in case uko katika mazingira hayo. Issue ni kwamba, kama madai...
  8. H

    Nchi za umoja wa ECOWAS zinapata wapi jeuri ya kuwa na jeshi kuvamia nchi nyingine?

    Salama humu🙂 Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp. Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini. Ni nchi ombaomba na zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea. Sasa kinachoniajabisha...
  9. A

    DOKEZO Responded Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    ➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa na C/NO yake ya kupatia Mshahara kutoka Hazina (Pay Slip tunazo). ➤ Tukiwa katika ajira tulikuwa...
  10. Webabu

    Utawala wa Kijeshi Niger: Mkituma Jeshi tutamuua Rais Bazoum

    Katika hali ya kutosoma vizuri nyakati na matukio na kwa upande mwengine kutaka kutumiza ajenda za nchi za magharibi, viongozi wa ECOWAS wanaoongozwa na Nigeria wamerudia nia yao ya kutaka kupeleka jeshi nchini Niger ili kumrudisha madarakani raisi Mohammed Bazoum aliyepinduliwa July 26. Kwa...
  11. MSAGA SUMU

    Jeshi la Kenya laanza kufuatilia mienendo ya makanali wake

    Jeshi la Kenya (KDF) linafana juu chini kuhakikisha kila Askari mwenye cheo Cha kanali hawezi kupiga chafya bila rais na amir Jeshi mkuu wa nchi hiyo kupewa taarifa. Sababu kubwa ya rais kuongeza umakini huo ni baada ya mapinduzi kadhaa yaliyotokea Afrika magharibi mengi yao yaliongozwa na...
  12. Mwl.RCT

    Dassault Rafale: Ndege ya Jeshi la Anga la Ufaransa

    Dassault Rafale ni ndege ya kivita ya Ufaransa yenye uwezo wa kufanya kazi katika anga, ardhi, na baharini. Iliundwa na kampuni ya Dassault Aviation na ilianza kutumika mnamo mwaka 1986. Ni ndege ya kwanza ya Ufaransa ya kizazi kipya na ina sifa kubwa kwa utendaji wake. Ndege hii ina silaha za...
  13. K

    Mawaziri wa ulinzi wa ECOWAS tayari wamekubaliana kupeleka jeshi Niger. Je, wanamapinduzi watamudu?

    Sasa mziki unaenda kufungwa nchini Niger, je, wanajeshi waliopindua watatoboa? ==== Pia soma: Viongozi wa ECOWAS watoa Wiki Moja kwa Jeshi la Niger kuachia madaraka
  14. benzemah

    Je, Jeshi la Polisi linamkwamisha na kumgombanisha Rais Samia na Wananchi?

    Ni muda mfupi tu umepita tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan apokee taarifa ya Tume ya Haki Jinai na moja ya maeneo yaliyotajwa kama kinara kwa uozo na uovu ni Jeshi la Polisi hasa kitengo cha Usalama Barabarani. Wakati Rais Samia akifanya jitihada za...
  15. BARD AI

    Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
  16. MK254

    Mkuu wa Wagner apongeza mapinduzi ya kijeshi Niger na aomba apewe fursa ya jeshi lake humo

    Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii.... Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg. Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin...
  17. John abruzzi

    Niger: Jeshi lapindua Serikali

    Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa. ====== Wanajeshi wa Niger wadai kumuondoa madarakani Rais Bazoum – DW – 27.07.2023 Grace Kabogo Kundi la wanajeshi wa Niger...
  18. Kamanda Asiyechoka

    Prof Kitila unataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?

    Impliedly
  19. Chale david

    Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
  20. GENTAMYCINE

    Kama katika Mazoezi ya Kawaida Ndege za Jeshi zinaanguka hivi Ziwani je, zikiwa Vitani si zitaanguka zote na Tanzania Kushambuliwa vilivyo na Adui?

    NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.  Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
Back
Top Bottom