Aliyewaambia Jeshi la Polisi askari kunyoa ndevu ni ishara ya utii ni nani?

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaambulia chuya tu!

Ukiwaona askari polisi wanaolipwa mishahara huwezi kuwatofautisha na wafungwa wa pale kwetu Gereza la Luanda Mbeya,au kule Moshi kwa Shangazi yangu Gereza la Karanga,Au kule Kwa watani zangu Mwanza Gereza la Butimba au kule Dar es salaam kwa X- wangu Gereza la Ukonga!

Askari na Mfungwa hawana tofauti kwasababu wote wana Sura ngumu, nyuso hazina nuru, hawana mavazi ya kuvutia, hawana afya ya mwili na akili,hawana hela,viatu wanavaa vimechakaa!

Namna mfungwa anavyonyoa ndivyo askari anavyo nyoa,sasa niwaulize Jeshi la Polisi, ni nani aliwaambia kunyoa ndevu kwa askari wenu ni chanzo cha utii?

Askari akinyoa ndevu anakuwa kama kibaka na havutii, mwanaume yeyote mwenye muonekano wa kuvutia na shababi huwa ananasibishwa na ndevu, sasa nyie mmefanya askari wamekuwa wazee wamefanana na watu ambao kula yao ni changamoto!

Hebu acheni sheria za kikoloni na mambo ya ovyo, acheni askari wafuge ndevu ili mionekano yao ivutue kwenye jamii siyo kutishana tishana,unakuta askari ana miaka 30 lakini kimuonekano ni kama ana miaka 70.

Kwani aliyekwambia wewe IGP afande Michael wa apo Osterbay akifuga ndevu hawezi kukupigia saluti ni nani?

Nani alikwambia wewe IGP ya Kwamba,Afande Joseph wa Pale kituo kidogo cha Mabatini akiwa na ndevu hawezi kukupigia saluti ni nani?

Acheni kuwazeesha Askari na sheria zenu za kikoloni mlizorithi kwa waingereza!,Wao waingereza askari wao na wanajeshi wao wanafuga ndevu ila nyie mliokuwa watumwa mmendeleea kuwa watumwa hadi leo.

BADILIKENI.
 
Na kuchanganya wanawake nao siku hizi wanaa suruali ni vigumu kuwatofautisha yupi mwanamke na yupi mwanaume
 
@Jeshi la polisi

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ila we jamaa muoga balaaaa

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi ni Jemedari,Jiwe,Chuma,Moto,Mkunyubenga,Dodoki,Tindo,Nondo,Tango,Karoti,Mkuyenge na Mafia mstaarabu!.

Ukijifanya unatukana halafu unakuwa kimberembere cha kuwatag Mods basi mimi nitafanya zaidi yako!

Mimi wajinga wote hapa JF nalala nao nyuma siyo mbele!
 
Si polisi au magereza tu ni majeshi yote ya ulinzi na usalama, japo makomandoo na other special forces wanaruhusiwa kufuga, ili wasigundulike kirahisi wakiwa kiraia
 
Back
Top Bottom