jeshi

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jordan imeshapeleka jeshi lake mpakani tayari kwa vita na Israel

    Baada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao na kuvunja mkataba baina yao. Hayo yamebainishwa na waziri mkuu wa Jordan,Bisher Khasawneh...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Watu 40 washikiliwa na Jeshi la Polisi katika msako wa Mauaji ya Askari wa kampuni ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawajulisha wananchi kuhusiana na tukio Moja la mauaji lililotokea Novemba 2023 kama ifuatavyo: Tukio lilitokea Novemba 19, 2023 majira ya saa saa mbili asubuhi katika Kijiji cha Mkali kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoa Ruvuma ambapo mwanaume aliyefahafika kwa jina...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Ukraine wakimbia usajili katika jeshi na hawakamitiki tena

    Kama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu. Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa wanakimbia kwa mbinu zote kuelekea mataifa ya nje.hasa Moldova, Poland na Hungary. Baada kuona wakipita...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

    Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya uwanja wa medani katikati ya mapigo ya moto sio hadithi ni kitu kinatisha sana. Katika kitu kinanivutia...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama Iddi Amin angekuwa na full support ya jeshi then vita ya Kagera ingekuwa ndefu sana na ingetugharimu kiuchumi vibaya mno

    Uganda tayari ilikuwa fractured kuanzia serikalini hadi kwenye jamii. Watu wa Uganda waliishi kwa kumuogopa dadaa ila hawaku muheshimu. So vita kutoka Tz ilikuwa ni fursa kwao kwa maana wanajeshi wa Tz walikuwa wanapata support kwa kila kituo walichokuwa wanafikia na naamini jeshi letu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la Bunge Gaza

    Mzuka wanajamvi, Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
  7. runtown

    JamiiForums Tanzania Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lawanasa watu wawili wakiwa na noti Bandia za Sh 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Novemba 01, 2023 hadi Novemba 11, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, utoroshaji madini, wahamiaji haramu, wavunjaji na watengenezaji na wasambazaji wa noti bandia. Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Mwili wa kijana Enock Elias umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji Wilayani Kibondo

    Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi. Kama taarifa hii ni kweli, ninalaani kitendo hiki na Wahusika akiwemo Makakala, wawajibishwe.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia aitetemesha Mbeya. Atua kijeshi na ndege ya Jeshi

    Ndugu zangu watanzania, Haijapata kutokea ,haijapata kuonekana kwa mapokezi makubwa aliyoyapata mh Dkt Tulia Acksoni Mwansasu mbunge wa Mbeya mjini,speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani ni mapokezi ya kishindo,ni mapokezi ya karne,ni mapokezi ya kihistoria ni mapokezi yaliyovunja...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

    Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu. Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

    Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU Wananchi wote mnakaribishwa
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi yazima maandamano, yakiri kumshikiliwa Sheikh Ponda kwa mahojiano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP. Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki maandamano hayo. ===== Polisi Dar wazima maandamano, Sheikh Ponda akamatwa Jeshi la Polisi Kanda...
  14. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Swali la ufahamu: Hivi CCM hutoa taarifa ya mikutano ya hadhara au/na maandamano yao kwa Jeshi la Polisi?

    Waungwana wa JF, husikeni na mada ya hapo juu. Nikiri wazi kuwa katika kufuatilia kwangu siasa za Tanzania kupitia redio, magazeti, runinga na mitandao ya kijamii, sijawahi kuona au kusikia kuhusu barua iliyowasilishwa na CCM kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) waweze kuendesha maandamano ya...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa mahandaki 130 yamefumuliwa na jeshi la Israel

    Hatari sana, yaani haya magaidi ya kidini yalikua yamejiandaa zaidi ya balaa, sema jeshi la Israel sio mchezo, limefumua mahandaki mengi sana ambapo watu walikua wanaishi kama fuko humo.................. Kwa hiki kipigo aise HAMAS wanafutika kweli....... The Israel Defense Forces on Wednesday...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

    Wanaukumbi. ----- 136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions: We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation. Our Mujahideen destroy vehicles and...
  17. harunimaiga

    JamiiForums Tanzania Usaili wa nafasi Jeshi la Polisi mkoa wa Dar es Salaam unashangaza

    Usaili wa nafasi za kazi jeshi la polisi umeanza October 31,2032. Mikoa yote nchi nzima. Baadhi ya mikoa wamemaliza usaili kwa ngazi zote, lakini mkoa wa Dar es Salaam bado. Usaili ufanyika ngazi ya wilaya na mwisho ni mkoa, ambapo kikawaida mitihani ya mchujo ufanyika katika ngazi ya wilaya na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Meja wa Jeshi la Ukraine afariki kwa kuripukiwa na Bomu alilopewa kama zawadi ya 'Birthday' yake

    A Ukrainian major has died after he was accidentally blown up by a grenade given to him as a birthday present.⁠ ⁠ Hennady Chastyakov was killed as he showed the gift to his teenage son at home on Monday, officials said.⁠ ⁠ It was initially thought that the 39-year-old had been killed by a...
  19. Midimay

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watu wanaodhaniwa Askari wa Polisi na Maafisa Msitu wawapiga Wananchi, kuchoma moto makazi na mazao Wilaya ya Chemba na Ikungi

    Habari za mchana wana JF. Hali ya sintofahamu imeendelea kwa siku mbili sasa katika kijiji cha Handa kilichopo katika Wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma karibu na mpaka na Wilaya ya Ikungi ambayo ipo katika Mkoa wa Singida. Ni karibu pia na Mpaka na Wilaya ya Hanang katika mkoa wa Manyara. Hali...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Askari polisi Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku waliomuua Luteni Generali Imran Kombe tar 30.6.1996 Bado ni watumishi wa Jeshi la Polisi?

    Kwa upendo na unyenyekevu Ninaomba mwenye taarifa sahihi kuhusu utumishi wa Askari hawa aziweke hapa Jf. Askari hawa walihusika kumuua aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa mstaafu.
Back
Top Bottom