jeshi

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

    Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao. Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

    Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi. Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera. Kimsingi baada ya vita ile...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Mwanziva Atembelea Vijana wa Jeshi la AKiba Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa; Victoria Mwanziva; aunga mkono mafunzo ya Vijana wa Jeshi la Akiba Wilayani Ludewa kwa kuwatembelea Kambini na kuwapatia “TrackSuit” sambamba na kuwachangia sare zao za kuhitimu mafunzo. Matunzo ya Vijana wa Jeshi la Akiba-Wilayani Ludewa kwa mwaka 2023 yanafanyika...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Palestine Liberation Army waanza kuwashambulia wanamgambo wa Hamas Gaza

    Palestina kuna makundi mawili yenye nguvu yanayoongoza Palestina.Moja ni la Raisi wa Sasa wa Palestina Mohamood Abbas ambaye ana jeshi lake la Palestine Liberation Amry ambalo ni muunganiko.wa wapiganaji wake wa Fatah na wengine wanaomuunga mkono wao Wao wanatawala West Bank ya Palestine Mwaka...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel (IDF) lashutumu kundi la Hamas kutumia Raia kama ngao ya kujilinda dhidi ya mashambulizi

    Kupitia ukurasa rasmi wa account ya Jeshi la Israel (IDF) kupitia mtandao wa Facebook. Jeshi la Israel limeshutumu kundi la Hamas kutumia Raia kama ngao ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Israel. Intelijensia ya Israel inasema kuwa imefanya utafiti kujua makombora ya Hamas yanatoka upande...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel (IDF) lakanusha kuhusika na Shambulio la hospitali huko Gaza

    Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine kadhaa. Jeshi hilo limesema, shambulio hilo halikufanywa na Israel bali ni kundi la Kigaidi lenye...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kituo cha polisi Chang'ombe temeke kimulikwe, huyu kijana mnayemfuga (Kadoda) analitia doa sana jeshi la polisi

    Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera. Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kusalimisha silaha kwa hiari Jela miaka 15 au Faini Milioni 10 au vyote kwa pamoja

    Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwakumbusha wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki waliofariki ambazo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Muhimbili, Jeshi la Polisi na RRH za Dar es Salaam wakutana Dar es Salaam

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo Oktoba 4, 2023 umekutana na Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Temeke, Amana, Mwananyamala, Waganga Wakuu wa Manispaa hizo, Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi Jinai (Forensic Bureau), Msaidizi wa Kamishna...
  11. B

    JamiiForums Tanzania General Manoj Pande wa jeshi la India yupo Tanzania kwa ziara ya kikazi

    Ziara ya general Manoj Pande kutoka India nchini Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aIzo8AkcGxE Mkuu wa jeshi la ardhini la India, General Manoj Pande awasili kwa ziara ya kikazi Tanzania. General Manoj Pande amekutana na waziri wa ulinzi Dr. Stergomena Lawrence Tax, na mkuu wa majeshi ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza na LATRA tatueni changamoto hii ya Daladala kukatisha ruti kibabe

    Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka. Kwa hivyo, abiria wa...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania IGP: Barabara za kuingia ndani ya Chuo cha Polisi Moshi Kilimanjaro,wajawazito wanashindwa kwenda kujifungulia zahanati ya chuo barabara ni mbovu.

    Kuna kila sababu ya kupeleka lawama Kwa IGP Tanzania kuhusiana ba barabara za kuingia chuo cha polisi Moshi, ikiwa ni pamoja a barabara zilizopi ndani ya chuo hicho. Barabara zote ni mashimo na gari yakiingia chuo ni hapo yanakuwayanavunjakila kifaa Kwa sababu ya mashimo na viraka vya lami...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mziki wa HIMARS, wakuu jeshi la Urusi walipuliwa wakiwa kwenye kikao

    Kama muvi vile, jamaa wamelipuliwa kizembe sana Ukraine’s Defence Forces targeted the temporary command post of the Russians in Kherson Oblast, following a tip-off from the Security Service of Ukraine. Source: Ukrainska Pravda source in the Security Service of Ukraine (SSU) Details: The video...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nishaurini, nataka kujiunga na Jeshi la Magereza

    Wakuu habari za muda? Nataka kujiunga na Jeshi la Magereza lakini kabla sijachukua uamuzi nimejaribu kudodosa maslahi nitakayopata nikiwa Askari Magereza. Baada ya dodoso langu nimeambiwa yafuatayo; - Mshahara 590000 kwa form 4 leaver anayeanza kazi. - Posho ya chakula 300,000 kwa mwezi...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, je jeshi la Polisi, TAKUKURU wanatimiza wajibu wao?

    Mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma amekuwa anatoa ripoti za ukaguzi wa matumizi na mapato ya serikali na matumizi ya serikali. Kila ripoti imejaa ushahidi tena wa kitaalam namna ambavyo fedha ya umma imetumika ama kuchezewa kupitia vote mbalimbali zilizopitishwa na Bunge. Jambo la kushangza...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vita Sudan: Mkuu wa Jeshi Burhan adai yuko tayari kwa mazungumzo ya amani

    Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema yuko tayari kukaa meza moja na Mohamed Hamdan Dagalo ambaye ni Kiongozi wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) baada ya pande hizo mbili kuwa katika mapigano makali tangu Aprili, 2023 wakishindana kuongoza Taifa hilo Jenerali Burhan ambaye alichukua mamlaka...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mali yafuta kabisa Sherehe za Uhuru

    Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo. Nchi ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tumieni Sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria vya kuvuruga amani nchini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote... The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September. Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
Back
Top Bottom