Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,473
- 12,866
Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea.
Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria.
Matukio ni mengi na hatuwezi kuelezea yote ila yanatufedheesha sana. Na watu wanaogopa kusema ukweli ila nodhamu ni tatizo kwa asilimia 49% katika jeshi la JWTZ na matukio yanayojitokeza kuanzia ndani ya nchi na mpaka nje ya nchi hayafichiki.
Au elimu inayotolewa jeshini inahusu tu nidhamu ua uwanja wa vita na sio nidhamu ya kuishi na raia au watu inaowalinda? Bahati mbaya uongozi wa jeshi unaongozwa na kanuni,sasa wale watu waliopewa dhama ya kusimamia hizo kanuni wakizivunja ni nani atawakemea?
Au hawa vijana wetu hawana utambuzi kua kuna jamii inayowazunguka na kuna maisha baada ya kulitumikia jeshi la ulinzi na usalama la wananchi wa Tanzania?
NB: MATUKIO KAMA LILILOTOKEA KAWE YANGEWEZA KUEPUKWA KAMA ELIMU YA MAHUSIANO YA KIJAMII NA NIDHAMU INGEKUA INATOLEWA KWA WANA USALAMA HAWA.
KUPIGA RAIA KUNAJENGA CHUKI NA MADHARA YAKE NI MAKUBWA NA YA MDA MREFU.