jeshi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nini kazi ya Jeshi la Ulinzi?

    Wakati wa Merchantalism, Nchi za ulaya zilitumia sana Jeshi kutoa ULINZI kwa wafanya biashara na misafara Yao iliyozinguka duniani kote kukusanya vitu vya thamani ambavyo vilikuwa muhimu kwa ustawi wa mataifa Yao. Kwenye Colonialism naona Hali ni sawa, wazungu kwalitumia Jeshi lao kupata...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

    Bila kupoteza muda. Tumsifu YESU KRISTU. Leo nataka niongelee kuhusu uwezo wa Jeshi la North Korea. Kwanini hawa jamaa wanatisha sana? Na kwanini West wanaeneza propaganda nyingi sana ili tu waweze kuwapoteza? Kwanini Marekani anawekeza sana kwenye nchi za Japan na South Korea ili kupambana na...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rose Busiga awataka Wanawake Nyang'wale kuendelea kuwa Jeshi la Rais Samia

    Mbunge wa Viti maalum mkoani Geita Mhe Rose Busiga amewataka wanawake wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita kuendelea kuwa jeshi la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa wanawake wanapaswa kujivunia kuwa na Rais mwanamke kwani hiyo ni hatua nzuri...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

    Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua? Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

    WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA. "Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

    JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi watalazimisha kuchukua nguo za kijeshi hata kwa wanaomiliki kwaajili kufanya kazi za sanaa wakati sheria haijazuia?

    Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema" Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimemcheka sana rafiki yangu kutoka Ghana kwenye kilimo cha Almond nikamkumbuka mzee wa Madungu jeshi kwenye kilimo cha Canola

    Mzuka Wanajamvi, Huyu Mghana tulikuwa tunabeba naye boksi pamoja. Akaomba mkopo benki akapewa kama/equivalent dollar za marekani elfu 40. Hela ilivyoingia benki yani ilikuwa fujo. Kesho yake hakwenda kazini na kuacha kazi hata bila kutoa taarifa. Akaniita tupige pombe. Nakunitambia hela na...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DR-Congo: Maafisa wa Jeshi walioagiza Askari kuua Waandamanaji wakamatwa

    Wizara ya Mambo ya Ndani imewataja waliokamatwa ni Mike Mikombe, Mkuu wa Kikosi cha Walinzi na Donat Bawili, Kiongozi wa Jeshi katika mji wa Goma, wote wawili wanadaiwa kuagiza Wanajeshi kuwaua Waandamanaji. Kwa mujibu wa Ripoti ya Wizara, Vikosi vya Usalama viliingilia maandamano ya Waumini wa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jenerali Brice Nguema: Viongozi wakiwaumiza Wananchi, Jeshi linapaswa kuwarudisia Uhuru na Utu wao

    Jenerali Brice Nguema ambaye ni kati ya Wanajeshi waliohusika katika kumuondoa Madarakani Rais Ali Bongo, ameapishwa kuwa Rais mpya huku akiweka ahadi za kurekebisha Sheria za Uchaguzi, Sheria za Adhabu na Katiba. Nguema amesema uamuzi wa kumuondoa Rais aliyekuwepo ulikuwa muhimu kwa manufaa ya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Sijaona Rais Samia ukielekeza Ukatoliki au Ulutherani wa mtu kufanya mambo unayoyataka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi, Oystebay, leo Septemba 4, 2023. https://www.youtube.com/live/Ft4BQNhtlHE?si=wnu_34cmAx82c_0X Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa tathmini wa Jeshi letu la Polisi

    Za asubuhi wanaJF, Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7. Kikao kitafunguliwa na Mhe. Rais Samia. Wananchi ni wadau wakubwa wa utendaji wa polisi hivyo...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wawili wasakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawasaka watuhumiwa wawili ambao wanadaiwa kuwa ni majambazi na kuhusika na uvamizi na mauaji ya wafanyabiashara wawili uliotokea Mtaa wa Kambarage Agosti 29 mwaka huu mkoani Njombe. Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi, John Imori wakati akizungumza na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

    Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;- "Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje? Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

    Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika. Nitajikita zaidi katika...
  16. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la wenzetu, full upendo kwa Wananchi wanaowalinda!

    Wananchi wa Gabon wakiwakumbtia na kuwafurahia Wanajeshi, unafikiri raia wanaweza wafurahia wanaojiita Wanajeshi hapa kwetu hivyo? Hata kama tutajaribu kutetea lkn deep down nafsi zinatusuta kwamba hilo haliwezekani, upendo wa hivyo kwa wananchi wa Tanzania haupo na wana sababu kwa nini ni...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Kanali wa jeshi la Urusi apigwa bomu na drone ya Ukraine akiwa kwake nyumbani, Urusi

    Sasa wanaanza kufuatwa manyumbani, alikua anafyeka nyasi kwake kashushiwa mzigo...... Salamu ziwafikie viongozi wa jeshi la Urusi popote walipo, wanafahamika wanakoishi na mitoko yao ya kila siku, na kuna drones za Ukraine zipo angani zinajipigia popote Urusi hadi hata ikulu. News World News...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

    Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania? CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao? Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na...
Back
Top Bottom