jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Zambia: Edgar Lungu apigwa marufuku kufanya mazoezi hadharani akidaiwa kuendesha Kampeni

    Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa. Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic...
  2. Msanii

    Ripoti ya CAG, je jeshi la Polisi, TAKUKURU wanatimiza wajibu wao?

    Mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma amekuwa anatoa ripoti za ukaguzi wa matumizi na mapato ya serikali na matumizi ya serikali. Kila ripoti imejaa ushahidi tena wa kitaalam namna ambavyo fedha ya umma imetumika ama kuchezewa kupitia vote mbalimbali zilizopitishwa na Bunge. Jambo la kushangza...
  3. Stephano Mgendanyi

    Jeshi la Polisi tumieni Sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria vya kuvuruga amani nchini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
  4. Sildenafil Citrate

    Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na Udhalilishaji kwa Kumning’iniza kwenye mti

    Jeshi la Polisi limeona video hii fupi (clip) ikimwonesha Mtoto aliyefanyiwa vitendo vya ukatili na udhalilishaji na limeanza kuifanyia kazi kuanzia ilipoanza kusambaa ili aliyefanya kitendo hicho cha kinyama kisichokubalika aweze kukamatwa na hatua zingine za kisheria ziweze kufuata. Mtoto...
  5. Sildenafil Citrate

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku Kamchape (Lambalamba), kuwasaka wote wanaohusika ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao

    / Hivi karibuni kumejitokeza wat wanajulikana kama Kamchape au Lambalamba wanaoendekeza imani potofu za kishirikina wakiidai wanao uwezo wa kufichua wachawi kitendo ambacho ni uhalifu.Watu hawa wameitokeza na kufanya uhalifu huo katika Mikoa ya Katavi, Kigoma, Rukwa na Songwe. Mbinu wanayotumia...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Tundu Lissu ni shujaa wa Taifa hili. Hizi figisu anazofanyiwa na serikali ya CCM kupitia jeshi la Polisi, zinamjenga zaidi kuliko kummaliza

    Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma...
  7. K

    Geita: Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuvamia makanisa mawili

    Geita. Mkazi wa Chato, John Marore anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo kwa tuhuma za kuvamia makanisa mawili likiwemo la Mtakatifu Bernadetha wa Lurd Parokia ya Nyakato-Buzrayombo na lile la Waadventisti wasabato yaliyopo kata ya Buzrayombo mkoani Geita. Matukio ya uhalifu kwenye...
  8. Roving Journalist

    Chalamila: Sijaona Rais Samia ukielekeza Ukatoliki au Ulutherani wa mtu kufanya mambo unayoyataka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi, Oystebay, leo Septemba 4, 2023. https://www.youtube.com/live/Ft4BQNhtlHE?si=wnu_34cmAx82c_0X Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu...
  9. BARD AI

    Njombe: Wawili wasakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawasaka watuhumiwa wawili ambao wanadaiwa kuwa ni majambazi na kuhusika na uvamizi na mauaji ya wafanyabiashara wawili uliotokea Mtaa wa Kambarage Agosti 29 mwaka huu mkoani Njombe. Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi, John Imori wakati akizungumza na...
  10. EINSTEIN112

    TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  11. S

    Yanayofanywa na Viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, ni mfano kwa askari walio chini yao hivyo tujiandae

    Habari ndio hio ndugu zangu na uzuri karibu kila mtu anajua nini kinachoendelea kwa sasa. Hivyo, wewe mwananchi wa kawaida huku mitaani, utarajie mambo kama hayo unayoyasikia kutoka kwa askari tunaoishi nao huku mitaani in case uko katika mazingira hayo. Issue ni kwamba, kama madai...
  12. BARD AI

    Hatma ya Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude bado Giza Totoro

    Wakati Jeshi la Polisi likiendelea kuwashilia wanasiasa Dk Willibrod Slaa na Mpaluka Nyangali maarufu ‘Mdude’ na mwanasheria Boniface Mwabukusi, mawakili wao wamedai kuwa wateja wao wamehojiwa kwa tuhuma za uhaini. Kufuatia madai hayo, baadhi ya wanasheria nchini wamezungumzia hatua hiyo...
  13. Bams

    Jeshi la Polisi linapokosa weledi linageuka kuwa chanzo cha taharuki

    Tungekuwa tupo katika nchi zilizostaarabika, wakati huu, uongozi wote wa Jeshi la Polisi ungekuwa umeshaondolewa kwa mambo ya ajabu yanayofanywa na jeshi hili yanayoashiria kukosekana kwa weledi ndani ya chombo hiki. Jeshi la Polisi linapofanya kazi ya kuwatengenezea watu kesi za kubumba ili...
  14. Dalton elijah

    IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

    Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
  15. benzemah

    Je, Jeshi la Polisi linamkwamisha na kumgombanisha Rais Samia na Wananchi?

    Ni muda mfupi tu umepita tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan apokee taarifa ya Tume ya Haki Jinai na moja ya maeneo yaliyotajwa kama kinara kwa uozo na uovu ni Jeshi la Polisi hasa kitengo cha Usalama Barabarani. Wakati Rais Samia akifanya jitihada za...
  16. BARD AI

    Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
  17. X

    Ajira jeshi la polisi Tanzania

    Nawasogezea hii vijana , Mpya kabisa . kila la kheri
  18. R

    Utaratibu wa Jeshi la Polisi kuwaanika wahalifu kwenye Televisheni kwa nini ulifutwa?

    Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza. Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi. Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
  20. Nyendo

    Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
Back
Top Bottom