Jeshi la Polisi lapiga marufuku watu kuvaa nguo zinazofanana na Majeshi ya Ulinzi na Usalama

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi.

Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja.
7DC18224-1DCC-4563-9BEC-DD382B9C192F.jpeg
 
Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku uvaaji wa nguo zinazofanana na majeshi ya ulinzi na usalama kwa watu binafsi.

Atakayekiuka atachukuliwa hatua kali za kisheria kwa kufikishwa mahakamani mara moja. View attachment 2688790
Bandari bandari.
Pigeni Pia marufuku kundi au watu kuuza au kutoa Rasilimali Za nchi,msiishie tu kwenye mavazi.
 
Watuwekee mavazi ya majeshi yetu kwa mjibu wa katiba yetu.
Kwa maana hiyo,tujue ili ni ipi.
Sio wajifanye kwamba polisi was Tz anaweza kutumia uniform ya jeshi la polisi ya Kenya ana Uganda.
Kwanza wanajua gwanda la kampuni ya ulinzi G4S ya Uingreza inayolinda gereza ya South Africa inafananaje.
Waache ungese,kwanza tupo bize na Ungese wa DP WORLD.
 
Back
Top Bottom