Zambia: Edgar Lungu apigwa marufuku kufanya mazoezi hadharani akidaiwa kuendesha Kampeni

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1695626200611.png

Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa.

Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic Front (PF) bila kuwepo kwa walinzi wake kuwepo katika mikusanyiko yake iliyotajwa kuwa kinyume na Sheria.

Siku chache zilizopita, Lungu alifungua Kesi Mahakamani akiituhumu Serikali kuwa ilimzuia kusafiri kwenda Korea Kusini kwaajili ya Mkutano ingawa baadaye aliondoa kesi hiyo. Lungu alishindwa katika Uchaguzi wa mwaka 2021 na anatajwa kuwa atagombea tena mwaka 2026.

==============

Zambia's former President, Edgar Lungu, has been warned against his public jogging events, with police describing his workouts as "political activism".

The police in a statement said Mr Lungu's exercise sessions while escorted by members of his Patriotic Front (PF) party and without his security officers amounted to "unlawful assembly".

The former head of state was ordered to notify police in advance when planning to jog in future "to ensure public safety and traffic management”.

"Mr Lungu should strictly adhere to security protocols and should refrain from any form of political activism," police spokesperson Rae Hamoonga said.

This comes a few days after Mr Lungu took the government to court after he was allegedly blocked from travelling to South Korea for a conference. He later withdrew the case.

After being in power for six years Mr Lungu lost the 2021 presidential election to Hakainde Hichilema. He is widely believed to be planning a comeback in the 2026 elections.

BBC
 
View attachment 2761480

Safi sana mwosha huoshwa! Lungu alinyanyasa sana waoinzani ingawa naye apikua upinzani!
 
Hahahaa! Kwahiyo bora waendelee kula waliopo
Sure Kwa sababu hakuna jipya tutapata yaani utakuwa unatoa mwizi huyu inaongoza jambazi.

Zimwi likujualo halikuli likakwosha ,Bora shetani unaemjua kuliko malaika usiyemfahamu.

Unaruka mkojo unakanyaga mavi ,unatoa rungu unaweka gobole 🤣🤣🤣
 
Siungi mkono hoja
 
Yeye alikuwa Rais wa nchi kuna mambo ambayo yanatakiwa yafuate security protocols, maana akidungulia atawafanya police walaumiwe ,
 
Back
Top Bottom