Kila mtu huwa anakuwa na ndoto kubwa ya maisha yake katika hatua fulani ya maisha.
Wengi hupata ndoto hizi kati ya miaka 7 mpaka kumi.
Muulize mtoto yeyote kwenye umri huo na atakuambia wazi anataka kuwa nani akiwa mkubwa.
Lakini mfuate mtoto huyo huyo miaka 10 baadaye na muulize anataka kuwa...
Ndio maana Bible inasema tuheshimu mamlaka ya nchi.
Ukisoma zaidi utaona viongozi wamepewa baraka za nchi.
Ila pale wanapoweza kuharibu kwa maneno machache basi hutengeneza laana..
Maombi yangu kwa Mungu amsaidie kila mkusanyiko ulipo neno la baraka litakase milele na nchi ibaki kwenye baraka...
Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao.
Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo...
Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini.
Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
Wanaojitenge kwa siku 14 ili wasieneze ugonjwa wanatakiwa kulipwa pesa kamili za mshahara. Serikali itawarudishia pesa hizo waajiri kutokana na kodi ili kuepusha biashara na uchuni kuanguaka.
On 17 March, the Chancellor announced an unprecedented package of government-backed and guaranteed...
Wataalamu wa masuala ya usalama wamesema kuwa, mlipuko wa virusi vya corona umefanya wahalifu wa mtandaoni kutumia mwanya huu kutapeli watu pia.
Wahalifu wa mtandaoni wanawalenga watu binafsi pamoja na sekta mbalimbali kama usafiri, utalii,afya ,elimu, bima na shughuli nyingine.
Barua pepe za...
Sasa hivi wanavitaka vyombo vya habari ikiwemo JamiiForums kutoa elimu kwamba Corona imeingia watu wachukue tahadhari wakati mpaka leo wana kesi isiyoisha mahakamani.
Vyombo vya habari kibao vimepigwa fine ili kuvinyamazisha ila leo vinakumbukwa.
Tuishi kwa upendo na kwa kutowaonea wengine...
Wakuu jamii forums leo ndio siku yangu ya mwisho humu nawaaga nitakuwa busy sana masomoni hamtaniona humu jukwaani hadi september 2020.
Mlionikosea nawasamehe bure kwa sharti na ninyi mnisamehe bure nilipowakosea
I will miss you all
Habari ya leo wanaJF,
JamiiForums ina zaidi ya members 500k ambao kwa pamoja wamechangia zaidi ya threads (nyuzi) 1.3M huku posts zikiwepo zaidi ya 13M. Lengo letu kwa leo sio kufahamu idadi ya members wa JF bali ni kujua top 10 threads / nyuzi zenye wasomaji / wachangiaji wengi zaidi. Hii...
Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
Kwanza ugonjwa wa akili ni kitendo cha kuanzia kufanya matukio kinyume na utaratibu na Kwa kujiamini sana bila wewe kujijua unakosea Ila jamii inakuona wewe unakosea, unaweza ukawa unasikia sauti za watu wanakuita Ila huwaoni, unaweza ukawa unajibizana na sauti ambazo huzioni, unaweza ukawa...
Nikimtafakari Bwana mkubwa na jinsi anavyoendesha kijiji chetu tangu aingie ofisini,sioni ni katika kundi gani katika jamii ya wadanganyika ambako anaweza kupata walau asilimia 30 ya kura zote kutoka katika lolote miongoni mwa haya na mengineo ambayo sijayataja:
1.Wafanyakazi
2.Wafanyabiashara...
Sweden nao wameamua kujiridhisha pasina shaka kuwa Tanzania kuna Uminywaji wa haki za Binadamu na kupunguza misaada kwa Miaka mitano ijayo, maana yake Mpaka 2026 ambapo uwenda Magufuli akawa anatoka madarakani
Nadhani baada ya Zitto kumaliza barua kwa USA sasa hii imeandikwa na Kiranga
Source...
Habare comrades
Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
Habari members,
Hua najiuliza hili swali mara nyingi kwamba Member wa JF huwa mnachangia mada mkiwa wapi mnajifungia ndani au?
Mana napanda daladala hampo, bar hampo, kila nnapokaa kwenye changanyikeni ya watu ambao wapo busy na simu zao wengi wapo Instagram, Twitter na mitandao mengine...
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi Dkt. Magufuli imeshakamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipongeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi.
Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwaa na kutukwaza Ila kwa kuwa...
To all women friends, young to old sisters here on JamiiForums.
Before starting I would like to congraturate every one here in JamiiForums for being rewarded by God to commence the beautiful and incredeble year, 2020. I know It was not an easy task to cross the 2019-2020 bridge, but for his...
JAMII MASKINI KWENYE ARDHI TAJIRI
(MSANGANO MOMBA)
BY
MSUKU PETER
UTANGULIZI
Umasikini. Ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile malazi, mavazi na chakula. Lakini pia maji safi na salama, huduma za afya, kutokana na kukosa uwezo wa kununua au kulipia. Hii pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.