Nataka kuingia kwenye biashara ya vitenge niwe nachukua mzigo Kariakoo naenda kuuza mikoani

Masanja Lweyo

Member
Dec 4, 2017
50
23
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavojieleza.

Mimi nataka kuingia mwenye biashara ya vitenge niwe nafata mzigo Kariakoo then naenda kuuza mikoani. Kwa ambaye anauzoefu kuhusu biashara anambie challenges za hii biashara.
 
Ni biashara nzuri sana.

Ila cha msingi angalia watu wako wana uhitaji gani? Je wana njaa ya tumbo na wanajimudu kununua vitenge? Maana sasa hivi watu wengi wananjaa ya tumbo na sio material
 
Back
Top Bottom