Uchaguzi 2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

Mvidunda

Senior Member
May 30, 2020
122
170
Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro....
Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
Kashu.jpg
 
Mbona anatanguliza neno wenye ulemavu wako sawasawa na wasio walemavu?
ndio sera yake hiyo?

Yeye ajikite kwenye sera aache kusaka advantage ya ulemavu kama ana sera nzuri tutampa kura kama hana sera nzuri hatutamchagua

over
 
Back
Top Bottom