jamii

  1. Bandamwagaz

    JamiiForums Tanzania Simbachawene aitaka Polisi kukaa mguu sawa Uchaguzi Mkuu, aipongeza Rufiji kusambaratisha Wahalifu

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote zitakazo jitokeza au uvunjifu wa sheria katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu. Simbachawene ameongeza kuwa, Polisi muda wote wawe tayari kwa kujipange vizuri na pia intelejensia...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wajumbe tumetambua umuhimu wenu kuanzia sasa mtapewa special treat

    Wajumbe tutawapisha viti kwenye dala dala na mwendo kasi. Tutawanunulia bia tukikutana bar Tutawapa lift tukiwakuta barabarani
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

    Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jamii ina changamoto gani ambazo tukizibadilisha itakuwa fursa ya biashara?

    Wakuu heshima kwenu, nipo mahali sahihi kwa wakati sahihi, na jukwaa sahihi. Tupo watu wengi humu zaidi ya 10000, so hebu tupeane mawazo, huenda mimi sikuwa nayo, mwenzangu akawanayo. Jamii yetu inachangamoto gani zinazohitajika kutatuliwa, ambapo changamoto hizo hupelekea kupata fursa ya...
  5. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inajua rushwa inayoendelea kwenye shirika la Hifadhi ya Jamii?

    Nadhani kwa sasa hawa wafanyakazi wa hilli shirika wamepiku askari wa babarani kwa kuonea watu na kula rushwa. Mtu akiwa nafuatilia haki yake atazungushwa sana ili mradi tu atoe rushwa. Kuna mama mmoja ni kati ya wafanyakazi wa DSTV walioachishwa kazi toka mwaka juzi, amefuatilia anaambiwa atoe...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

    Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo. Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu. Kijana tafuta hela...
  7. palahingwe

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua kwa nini binadamu haoni gizani?

    Habari wana jamii! naomben kujua kuhusu hili! Kwanini binadamu haoni gizani?:rolleyes:
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Jamii inawachukulia tofauti sana watumishi wa Mungu/watu wastarabu

    Jamii imekuwa na mtizamo wa tofauti sana kwa watumishi wa Mungu au watu wastarabu, jamii hudhani watu hawa wamesalimika na kukosea kitu ambacho huwapa wakati mgumu sana katika jamii wanapokosea. Mfano ikitokea mtumishi kachepuka/kashikwa ugoni au mtu msatrabu kaiba, hizi mambo husababisha jamii...
  9. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania ‘Namba zinanuka’ – Serikali imechangia kudumaza mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Habarini wakuu, nimefanikiwa kufanya utafiti ambao ulilenga kuchambua taarifa mbali mbali za kiuchumi za serikali na hususani kabisa zilizolenga taarifa ya kifedha ya serikali (Financial statements) kuanzia mwaka wa fedha wa June 2016 mpaka June 2019. Takwimu nilizotumia kwenye uchambuzi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo baadhi ya wabunge wa upinzani wanavyochukuliwa na jamii baada ya miaka karibu mitano ya shida na mateso

    Chanzo:Tony Alfred on twitter. Maoni yangu: Kuna mtu/watu watakuwa wanajisikia vibaya sana kusoma tweet hizi(maneno haya) na wajue tu watakumbukwa kwa matendo yao na si kwa structures watazotuachia kwani wako wengine watakaoikuja kujenga structures zingine bora zaidi kama ambavyo wao sasa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu ananitishia kwenda kunishtaki Ustawi wa Jamii

    Habari za wakati huu waungwana? Jamanimwenzenu nina changamoto nimeipata kuhusiana na mzazi mwenzangu. Iko hivi huyu mwanamke tumezaa mtoto ambae kwa sasa ana umri wa mwaka mmoja na miezi 7. Kiukweli toka ajifungue huyu mtoto nimekuwa nikitoa pesa za matunzo vizuri tu bila shida, ofcoz naye...
  12. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Twiter kuna wapwa na wakulingwa tuinuane huku tunainuka pamoja kama jamii moja

    Hii ndiyo raha ya kuwa mwanachama wa jamii forum, wote ni ndugu hakuna cha wapwa wala wakulingwa tunainuka kama jamii moja. Jamii forum inabaki kuwa uwanja mpana wa jamii wenye kutoa hoja kuntu katika mawanda yote ya jamii yetu. "Tunainuka pamoja kama Jamii"
  13. lbaraka

    JamiiForums Tanzania Ni jamii ipi ndo "the first mathematicians and engineers" kati ya Greeks, Babilonians na Egyptians?

    Salamu wana jukwaa wa humu: Nimekisoma kitabu cha The Richest Man in Babylon, by George S. Clason na kinasema kwamba wanasayansi, wanamahesabu wa kwanza kabisa ni wao. Nijuavyo mimi, watu wa kwanza kabisa kuanza kutumia hesabu ni wamisri hasa kwenye ujenzi wa pyramids zile. Kuna source...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Serikali haijawasilisha shilingi bilioni 1.5 za makato ya wafanyakazi kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    "Kuna Bil 1.5 za makato ya wafanyakazi hazijawasilishwa, Serikali inachofanya inalipa mishahara lakini kwenye Mifuko ya Hifadhi za Jamii ile pesa haipelekwi, hii ni hatari mtu anapostaafu ili alipwe pesa zake anaambiwa michango yako huku haikuletwa" Mbunge ,Tunza Malapo. Chanzo: Darmpya Blog...
  15. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Tusikwepe wajibu wetu katika jamii yetu

    Kuna watu wengi wanakwepa majukumu yao katika jamii yetu kwa kisingizio kuwa haya au hayo ni mambo ya kisiasa. Binafisi huwa ninawaza watu hawa uelewa wao wa mambo ni mdogo sana au wameamua kwa makusudi wawe vipofu? Tuelewane kidogo iko hivi siasa ndiyo inaendesha kila kitu katika maisha yetu...
  16. Mjomba Fujo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

    Mgogoro wa mifugo umeleta mapigano ya jamii hizi mbili zenye uhasama wa muda mrefu.
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanzisha kipindi cha kuelimisha jamii kuhusu sera zake. Kinaitwa IJUE CHADEMA. Kuanza rasmi Mei 25

    Lengo kuu likiwa ni kuwafahamisha wananchi wote jinsi Chadema ilivyo , muundo wake , viongozi wake waliopita na waliopo , sera zake , ilikotoka na inakoelekea . Kwa kuanzia kipindi hicho kitarushwa live kwenye mitandao yote ya kijamii , huku mipango ya kukirusha kwenye TV mbali mbali zenye...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Mifuko ya Jamii hoi, pensheni hatihati kulipwa

    May 22, 2020 Bungeni Dodoma Tanzania DAKIKA 17 ZA HALIMA MDEE BUNGENI LEO Mh. Halima James Mdee mbunge wa CHADEMA aichambua taarifa ya CAG aliyepita na CAG mpya ambao wote wameonesha jinsi taasisi kubwa kama Mifuko ya Jamii na National Housing kushindwa kujiendesha. Mifuko ya Jamii ipo hoi...
  19. Firmino bobby

    JamiiForums Tanzania Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

    Muda mrefu nimekua msomaji tu wa mada zenu nikifuatilia karibu kila post inayowekwa katika mtandao huu, nina circle ndogo sana ya marafiki na watu ninao fahamiana nao kwa muda mrefu sasa hali inayo ni fanya muda mwingi ninao upata niwe nautumia kuwasomeni enyi wakuu wangu, ninavyo vingi vya...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Uongo na Njama: Jinsi Marekani inavyodanganya watu wake na jamii ya kimataifa kuhusu virusi vya Corona

    Katika hospitali ya Elmhurst jimbo la New York nchini Marekani, mchana na usiku, madaktari na manesi wanajitolea kuokoa maisha ya wagonjwa wa COVID-19, ambao hofu za kuhuzunisha zinaonekana machoni mwao, lakini bado wanashindwa kumsaidia kila mmoja. Nje ya hospitali, friji kubwa zimepangwa kwa...
Back
Top Bottom