Anaandika Comrade Malisa GJ.
Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa.
Akanitumia...
Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki.
Akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake (TAWJA) tarehe 24 Januari 2021, jijini Mwanza amesema, haki ndio msingi wa amani.
“Mheshimiwa Jaji Mkuu sote unatambua...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA MADIWANI NA VIONGOZI WA MILA (ILAIGWANAK) WA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO (TARAFA YA NGORONGORO) JUU YA UHIFADHI NA JAMII
Sisi, Madiwani na Viongozi wa Mila (Ilaigwanak) wa Tarafa ya Ngorongoro (eneo la Hifadhi ya Ngorongoro), Wilaya Ngorongoro kwa niaba...
Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums.
Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia
JamiiForums ambapo mengi...
Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio.
NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono.
Sasa nimebakisha mawili tu. Nimenza mazoezi takriban wiki ya pili sasa na naendelea...
Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuoni Arusha (IAA – Institute of accountancy Arusha) , nilikuwa na miaka 22
Miaka hiyo nilikuwa natumia ID nyingine humu JF, JF enzi hizo tulikuwa wachache sana humu jamiiforums maana smatphones zilikuwa bei sana, bando...
Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii.
Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo.
Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali...
Wadau Wa Jamii Forum, Nimeamini Tanzania Ya Viwanda Inawezekana!
Nimekuta wadau wakijaribu kupata mwanga kwa kutumia teknolojia ya Zamani kidogo!
Wahenga mtuhabarishe
Serikali imeitaka mifuko ya hifadhi ya jamii nchini kuacha ujanja ujanja badala yake ijikite kulipa mafao kwa wakati kwa wanachama wao wanaostaafu ama kuachishwa kazi.
Imeitaka mifuko hiyo kutowazungusha na kuwapa usumbufu usiokuwa wa lazima wanachama wanaofuatilia mafao yao.
Vilevile...
My True story.
Kisa hiki kinaanzia miaka kadhaa nyuma wakati nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho kimasomo katika shule moja ya sekondari nchini.
Nilikuwa nafanya juhudi kubwa sana katika masomo na asilimia kubwa marafiki zangu shuleni walikuwa ni wale wanafunzi ambao 'wanajitambua' na...
JUMLA ya wanafunzi 68 kutoka shule za msingi na Sekondari katika Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi Januari hadi Novemba mwaka huu.
Taarifa ya Jeshi la Polisi wilayani humo dawati la jinsia, imeeleza kuwa shule za msingi ni wanafunzi watatu wakati wa...
Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea kuwepo kwa single mother wengi, unavyombebea mimba mwanaume kwa kigezo Cha moyo unampenda ni uzwazwa...
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
Wanaume wenzangu.
Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje.
Kuna wakati anaweza kukuomba idhini ya jambo ili kukupima tu je utamkubalia au kumkatalia. Kumkatalia mwanamke kwenye...
Hawa mabwana mpaka sasa wameubana mtandao wa Twitter, ila cha ajabu wao wenyewe ni watumiaji wazuri wa huu mtandao kitu ambacho kinatushangaza sana. Kama twitter ina watumiaji mnaowaona ni hatari au hawafai, kwanini basi na nyinyi mnaendelea kuutumia huo mtandao baada ya kuubana?Tuwaelewje au...
WanaJF.
Moja ya kazi ngumu Rais wetu aliyoifanya ni pamoja na kuifanya jamii kufanya biashara halali. Ilikuwa kazi mgumu kuwaondoa wafanyabiashara matapeli kwani walikuwa washirika wakubwa na viongozi wanaoishikiria serikali. Mwanzo tunaowajua hawa wafanyabiashara tuliogopa sana kwamba wanaweza...
Kwanza kabisa niseme wazi kuwa mimi binafsi sio kwamba naridhika na kila kitu kinavyotendeka katika nchi yangu hii lakini ustawi wa watanzania wote, ustawi wa nchi yangu ni bora kuliko matakwa yangu binafsi.
Nilivyokuwa mdogo niliwaza sana kufanya kazi katika taasisi kubwa za nchi hii kwa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.